Asili na Maana ya Jina/majina ya sehemu mbalimbali Tanzania

Asili na Maana ya Jina/majina ya sehemu mbalimbali Tanzania

Kichwa cha habari na ulichotaka kumaanisha ni vitu viwili tofauti
 
Kwanza tuanze na chanzo cha neno 'Dar - es - salaam'
 
Jiji la Dar ni kubwa sana na lina maeneo mengi sana yenye majina tofauti tofauti, Je! Nini kilipelekea mpaka haya maeneo yakapewa majina kama MABIBO, MBAGALA, TEMEKE, UBUNGO, ILALA, KARIAKOO, SINZA, MASAKI, KIGAMBONI, MSASANI, TAZARA, TABATA, TEGETA, BUNJU, MOROCO NK. Ni kwa nini haya maeneo yalipewa hayo majina, mwenye historia nzuri ya jiji hili atujuze.
 
Kwa asilimia kubwa ni makosa ya matamshi kutokana na lugha pia uwepo wa miti ama vitu kadhaa!Msasani - Musa Hassan , Kariako - Carrier corps, Tabata - Utapata (mhindi) ,Ubungo - Mibungo mingi,Mabibo - Miti ya mibibo
 
nimekupata vizuri mkuu
 
Back
Top Bottom