Maalim Chimpumu
Senior Member
- Apr 29, 2014
- 125
- 33
Afu nashangaa kuona mchango wa waislam kusahauliwa katika historia ya harakati za Uhuru wa Tanganyika!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
!
!
marehemu makusi au mr. chiduo wangetusaidia hapo. Au kama vipi Dogo bado yupo pale,au hata humu yupo mpiem
masultani haohao tuliowafurusha then watutungie jina la nchi!!??? majanga!
hata siku moja siku wahi kuona ktk maandishi ya Mohamed Said akimtaja au kumzungumzia.nahisi huyu sio muislamu wa madhehebu ya sunni na wezee wake hawakuwa wazawa wa mzizima/gerezani kkoo.
hata siku moja siku wahi kuona ktk maandishi ya Mohamed Said akimtaja au kumzungumzia.nahisi huyu sio muislamu wa madhehebu ya sunni na wezee wake hawakuwa wazawa wa mzizima/gerezani kkoo.
Aliyebuni jina la TANZANIA ni Mtanzania mwenye asili ya Kihindi mkaazi wa Mtwara kwa jina Mohammed Iqbal Dar.
Sio wengi tunaojua kuhusu historia hii labda kwa sababu mbunifu wa jina hili sio MUAFRIKA.View attachment 164057
Aliyebuni jina la TANZANIA ni Mtanzania mwenye asili ya Kihindi mkaazi wa Mtwara kwa jina Mohammed Iqbal Dar.
Sio wengi tunaojua kuhusu historia hii labda kwa sababu mbunifu wa jina hili sio MUAFRIKA.
Muhammad Iqbal Dar mtoto wa Dk Tufail Ahmad Dar Alizaliwa tarehe 8 mwezi wa 8 mwaka 1944 ktk mji wa Tanga.
Mwaka 1963 M.I.Dar alijiunga na secondary HH the Agakhan na mwaka uliofuata alijiunga na shule ya secondary ya mzumbe.
Akiwa shuleni hapo alisoma tangazo ktk gazeti la THE STANDARD ambapo aliona tangazo la kubuni jina la muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambapo alifanikiwa kuunda jina la TANZANIA.
Baada ya siku kadhaa baba yake alipokea barua serikalini ikimjulisha kuwa mtoto wake amebuni jina la Muungano.
Mnamo tarehe 19/10/1964 wizara ya habari na utalii ilimtumia barua ya pongezi yenye kumbukumbu IT/P.702 na yenye kichwa cha habari JINA JIPYA-TANZANIA.
barua hyo ilisainiwa na Idrisa A. Wakili.
>>>iddyallyninga@Gmail.com