Asili ya uchawi na kuabudu Maiti, Jua na Mwezi ni Babeli siku chache baada ya gharika ya Nuhu

Mwazo wa uovu (Polytheism) ulianzia Ancient Babylon (Babeli) au kwa jina lingine Mesopotamia.....Nimrod - Semiramis - Tammuz.....Ambao pia Roman Catholic wanafuata mfumo huu wa kipagani wa Ibada...NI PM KAMA UNA SWALI AU UNAPENDA KUJIFUNZA ZAIDI
Mkuu unaweza kulaumu Catholic peke yake lkn ukagundua mizizi ya upagani ulioanzia Babal na tunatarajia arudi kabla ya kiyama Ila safari hii ni moto sio kuchafuliwa Lugha umetapakaa ktk kila dini , desturi, na imani. Ngoja tuendelee kujifunza zaidi ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Roman cstholic ndio wamerithi kila kitu , kuanzia ibada hadi kila kitu

yohana ameifananisha roman na BABEL MKUU
 
ubabeli umetapakaa makanisan na misikitini

Ila kwa roman catholic upo wazi waz kwasababu wao wariurithi moja kwa moja kutoka ROMAN EMPIRE
 
Mkuu unaweza kulaumu Catholic peke yake lkn ukagundua mizizi ya upagani ulioanzia Babal na tunatarajia arudi kabla ya kiyama Ila safari hii ni moto sio kuchafuliwa Lugha umetapakaa ktk kila dini , desturi, na imani. Ngoja tuendelee kujifunza zaidi ...

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati Constantine anaiongoza Roman Empire Ukristu na Upagani zilikuwa imani mbili tofauti,,,Akaona kuwa utawala umejigawa hivyo utampa changamoto kwenye uongozi....Akaamua kuwaunganisha wakristu na Wapagani wawe kitu kimoja ili kusiwe na tofauti katika watu anaowaongoza. Hivyo akaunda Roman Catholic Church ambamo ndani yake aliweka sanamu za wapagani na kuzipa majina ya mitume na manabii mbalimbali wa kikristu....Pia akabadili siku ya kwanza ya wiki na kuiita 'Sun day' yaani siku ya jua na kuamuru kuwa ndiyo siku ambayo watu wote watafanya ibada ndani ya Roman Catholic. Siku ambayo makanisa mengine yameiiga na tangu wakati huo Roman Empire inafanya ibada kwa misingi ya kipagani. Na siku ya jua ni kumuabudu Mungu jua (Nimrod) ambaye ndio mwanzo wa udanganyifu kama ilivyo Monday (Moon day) siku ya kumuabudu Semiramis ' the moon goddess' au Roman Catholic wanamuita Virgin Mary...ana majina mengi kama Madonna, Ishtar au kwa siku hizi mnaita Easter...sikukuu ya kuadhimisha kuzaliwa kwake
 
kwenye historia ya utatu,story ya osiris,isis na horus inapredate mythology zote
acha upotoshaji
Lugha ni tofauti kwa mataifa tofauti ila stori ni ile ile (Fanya uchunguzi)
Capture.JPG
 
mkuu hukunielewa labda,mimi sijakataa kuhusu utatu kwenye mataifa tofauti
nachosema mimi ji kwamba trinity ya kemet ndio ya kwanza,hawa wengine walifatia badae
Asante kwa kunielewesha Nyabhingi....uko sahihi
 
ubabeli umetapakaa makanisan na misikitini

Ila kwa roman catholic upo wazi waz kwasababu wao wariurithi moja kwa moja kutoka ROMAN EMPIRE
kuna baadhi ya vyanzo vinaonyesha hata staili za kupunga mapepo makanisani siku hizi zinafanana na jinsi wapunga pepo wa kale huko mesopotamia au babeli.
Tunarudi tulikotoka.
 
Wakati Constantine anaiongoza Roman Empire Ukristu na Upagani zilikuwa imani mbili tofauti,,,Akaona kuwa utawala umejigawa hivyo utampa changamoto kwenye uongozi....Akaamua kuwaunganisha wakristu na Wapagani wawe kitu kimoja ili kusiwe na tofauti katika watu anaowaongoza. Hivyo akaunda Roman Catholic Church ambamo ndani yake aliweka sanamu za wapagani na kuzipa majina ya mitume na manabii mbalimbali wa kikristu....Pia akabadili siku ya kwanza ya wiki na kuiita 'Sun day' yaani siku ya jua na kuamuru kuwa ndiyo siku ambayo watu wote watafanya ibada ndani ya Roman Catholic. Siku ambayo makanisa mengine yameiiga na tangu wakati huo Roman Empire inafanya ibada kwa misingi ya kipagani. Na siku ya jua ni kumuabudu Mungu jua (Nimrod) ambaye ndio mwanzo wa udanganyifu kama ilivyo Monday (Moon day) siku ya kumuabudu Semiramis ' the moon goddess' au Roman Catholic wanamuita Virgin Mary...ana majina mengi kama Madonna, Ishtar au kwa siku hizi mnaita Easter...sikukuu ya kuadhimisha kuzaliwa kwake
sijakataa mkuu. maana hata sikukuu zao za kumbukumbu za wafu zinafanyika muda na tarehe hizohizo za mwanzo wa mwezi september kama ilivypkuwa babali na kwingineko katika masalia ya Babylonian dead worship.
Ila hoja yangu ninkwamba sio hao tu, mifumo ya kibabeli imetapakaa karibu kila nyanja ya maisha ya mwanadamu na karibu kila dhehebu kwa mifumo tofautitofauti.
Ndio maana Kitabu cha Ufunuo 18:1-4, kiliifananisha Dunia na Babeli na Kuiona imekuwa ngome ya kila aina ya Uchawi.
 
kwenye historia ya utatu,story ya osiris,isis na horus inapredate mythology zote
acha upotoshaji
vyote vilianzia Babylon kabla watu hawajatawanyika. dating zisikuchanganye maana hata sasa bado koleo halijamaliza kichimba kila kitu.
Isis wa Misri ndiye Semiramis wa Babeli ( Malkia wa Mbinguni).
Osiris wa Misri ndiye Nimrod wa Babeli.
Horus wa Misri ndiye Tammuz wa Babeli.
kuna watu wanaamini uwepo wa Mungu Baba, Mama, na Mwana. huu ni muendeleo wa mambo ya babeli. Lakini pia
ni kawaida shetani kufanya counterfeit ya Uungu ili apoteze watu maboya maana alitokea hukohuko anawajua wote.
Tafuta kitabu '' history of dead worship'' unaweza kupata mwanga zaidi.

Pia uchawi wote wa kiafrika, na dini zote za kiafrika asili yake ni hukohuko babeli.
 
mkuu hukunielewa labda,mimi sijakataa kuhusu utatu kwenye mataifa tofauti
nachosema mimi ji kwamba trinity ya kemet ndio ya kwanza,hawa wengine walifatia badae
unachokisema hakina uhakika kama sentensi zako mkuu.
Katika dunia ya uchimbuzi wa mambo ya kale Kuna mgawanyiko mkubwa wa uelewa. Wapo wanaosema mambo ya kichawi, utatu, uliosambaa duniani na mambo ya kimiungu na kiibada yalianzia Misri na tupo Tunaosema Yalianzia BaBELI.
Babeli inaleta mashiko zaidi. Hivyo ni rahisi kuamini uwepo wa vitu vya kipagani na mfanano dunia nzima maana chanzo ni kimoja.
Ila kwa misri zaidi ya Ugiriki kwenda pale kusomea mambo ya kichawi na philosophy na kuisambaza duniani kwenye mambo ya dini na kichawi haileti maana kusema ndio iwe orgin. Maana wagiriki hawakufika hata India ndani ndani lakini miungu yenye ufanano wa babeli ipo, Hawakufika china lakini miungu yenye ufanano wa babeli ipo, hawakufika South Amerika lakini kuna ibada za wafu ambazo zinafanana hadi tarehe na sehemu nyingine duniani ambapo hakukuwa na mawasiliano.

Msimamo huu wa kibibilia juu ya Babeli, unaungwa mkono na wasomi wengi mno wa historia na archiolojia ambao hawaamini wala sio wafuatiliaji wa bibilia.
Ibada za Jua, Uchawi etc zinaanzia babeli zaidi ya hapo misri.
 
IQ ya wazungu unayozungumzia ipi!! wanaume kwa wanaume wanaoana, wakimaliza haja badala ya kunawa na maji wanajifuta na makaratasi.
We hua unawaonaje huko chooni wakati huko chooni mtu anaingia pekee yake!? Anyway, kwani hi technology ulioitumia kuwasiliana humu ni ya NANI kama sio Mzungu!? NAdhani uliye mnukuu, alikua ana maana ya hizi teknolojia zinazo onekana badala ya hao mambo yanayo fanywa kwenye sehemu za siri ambazo lazima uwe mchawi tu ndio unaweza kuona wanacho kifanya huko!
 
vyote vilianzia Babylon kabla watu hawajatawanyika. dating zisikuchanganye maana hata sasa bado koleo halijamaliza kichimba kila kitu.
Isis wa Misri ndiye Semiramis wa Babeli ( Malkia wa Mbinguni).
Osiris wa Misri ndiye Nimrod wa Babeli.
Horus wa Misri ndiye Tammuz wa Babeli.
kuna watu wanaamini uwepo wa Mungu Baba, Mama, na Mwana. huu ni muendeleo wa mambo ya babeli. Lakini pia
ni kawaida shetani kufanya counterfeit ya Uungu ili apoteze watu maboya maana alitokea hukohuko anawajua wote.
Tafuta kitabu '' history of dead worship'' unaweza kupata mwanga zaidi.

Pia uchawi wote wa kiafrika, na dini zote za kiafrika asili yake ni hukohuko babeli.
get your facts right
huwezi kupata original document ya babeli
nenda egypt ushahidi upo kwenye kuta za piramidi na mahekalu
they have been carbon-dated and proved
there is no ancient belief system that predates Kemet
everything started there
 
unachokisema hakina uhakika kama sentensi zako mkuu.
Katika dunia ya uchimbuzi wa mambo ya kale Kuna mgawanyiko mkubwa wa uelewa. Wapo wanaosema mambo ya kichawi, utatu, uliosambaa duniani na mambo ya kimiungu na kiibada yalianzia Misri na tupo Tunaosema Yalianzia BaBELI.
Babeli inaleta mashiko zaidi. Hivyo ni rahisi kuamini uwepo wa vitu vya kipagani na mfanano dunia nzima maana chanzo ni kimoja.
Ila kwa misri zaidi ya Ugiriki kwenda pale kusomea mambo ya kichawi na philosophy na kuisambaza duniani kwenye mambo ya dini na kichawi haileti maana kusema ndio iwe orgin. Maana wagiriki hawakufika hata India ndani ndani lakini miungu yenye ufanano wa babeli ipo, Hawakufika china lakini miungu yenye ufanano wa babeli ipo, hawakufika South Amerika lakini kuna ibada za wafu ambazo zinafanana hadi tarehe na sehemu nyingine duniani ambapo hakukuwa na mawasiliano.

Msimamo huu wa kibibilia juu ya Babeli, unaungwa mkono na wasomi wengi mno wa historia na archiolojia ambao hawaamini wala sio wafuatiliaji wa bibilia.
Ibada za Jua, Uchawi etc zinaanzia babeli zaidi ya hapo misri.
hakuna original document ya babeli inayoonyesha unachosema
misri document zipo na wanahistoria wanakubali
 
get your facts right
huwezi kupata original document ya babeli
nenda egypt ushahidi upo kwenye kuta za piramidi na mahekalu
they have been carbon-dated and proved
there is no ancient belief system that predates Kemet
everything started there
hakuna original document ya babeli inayoonyesha unachosema
misri document zipo na wanahistoria wanakubali
kulingana na vyanzo vya kale na vya kiushahidi.

Hii ndiyo sehemu ya kale yenye taarifa za kale kuonyesha wamewahi kuwepo watu na belief system yale kuliko hata hao Misri kama inavyoaminishwa na mainstream historia.
Hapa ni GOBEKLI TEPE, Uturuki ambapo pako mwambao mmoja na Sumeria. Hii makadirio yake ni miaka 12000 -6000 iliyopita.
(Japo mimi ni muumini wa biblical creation na naamini kuna errors nyingi katika dating system ila vyote yangu viumbwe ni miaka kama 6000 tu ). Lakini pamoja na Yote bado Egypt kiushahidi sio ya kwanza kwa kuanzisha unayoyasema.

Mwisho wa Yote, ukaribiano wa ibada za Jua, miungu kati ya Sumeria, egypt, china, india na ufanano woote wa ibada za jua na za kimizimu duniani kote bila kuwasiliana kwa wahusika ni Ushahidi kiwa chanzo chao ni kimoja.
Na sisi tunaoamini Uwezo wa Mungu, Na ukweli kwamba taifa pekee lenye uwezo wa kutunza historia yake ni wayahudi. Na Mungu wa wayahudi ndiye Mungu Muumba wa dunia nzima. Ametutaarifu hilo kuwa yote yalianzia Siku chache kabla ya Gharika.

Pia hakuna hitimisho la moja kwa moja kuwa belief system ilianzia Misri kisa kaushahidi kamoja kakihistoria huku kuna maelfu kama sio mamilioni ya sites bado zinafukulukiwa mkuu.

View attachment 868725

Historia inayoumana na Bibilia huwa naiita HISTORIA TaKATIFU. hivyo ancient idolatry imeanzia hukohuko Babeli enzi za wakina nimrod. Yawezekana Misri ilikuja kuwa maarufu zaidi baadaye na kupata umaarufu, na kupeleka upagani ugiriki, kisha waroma wakauingiza duniani kwa mara ya pili japo upo ushahidi mwingine wa direct link kati ya babylonian dieties kuingia huko italy kwa kupitia moja kwa moja huko babel inagawa asilimia kubwa ni kutokea misri.

Nadhani konachoupa misri umaarufu ni kiwa chuo kikuu cha uchawi na upagani duniani hasa pale alexandria.
pale ndio kulikuwa mwisho wa maneno. hata juzijuzi napolion alipeleka majeshi yake na wataalam kwenda kuchota maarifa pale.

mwisho wa siku, hakuna jipya chini ya jua yaliyopo yanasyosumbua watu katikaulimwengu wa ibada yaliwahi kuwepo na yalianzia babeli. Na dunia inarudi babeli kwa mujibu wa Ufunuo 18:1-4.
Kama ile sanamu ya Daniel 2 ndotoya mfalme wa babeli kuhusu Historia ya dunia na falme yake. Yesu anakuja kuisambaratisha dunia asimamishe Ufalme wake wa milele. Sisi wengine ni mabalozi wa ufalme ujao, ndio maana tunawasisitiza watu wajiandikishe uraia wa ufalme wa Mungu maana huu unapita pamoja na uasi wake.
 
unachemka unapotumia biblia kuwa rejea ya ukale wa babeli sababu tu inasemwa kwenye biblia
biblia ni copy and paste ya maandiko ya egypt
narudia tena hakuna "artifact" yoyote ambayo ni original inayotoa ushahidi wa uwepo wake kabla ya kemet/egypt
nasema hivyo kwa sababu hadi sasa wamepewa challenge watoe ushahidi unaopredate egypt wameshindwa

kwanza niambie maana ya upagani,sio unasema tu bila kujua maana yake
unaposema uchawi hujui kuwa kila jamii ya kipindi hicho ilikuwa na uchawi wake,vipi kuhusu musa kutengeneza nyoka na kuwameza nyoka wa farao(ingawaje ni sttory ya kutunga tu hii)
 
Mkuu mitale na midimu kwanza nikupongeze kwa uzi ulioshiba kuna mengi nimejifunza na naendelea kujifunza humu sasa basi labda niulize swali moja

1. Kama Mungu aliangamiza dunia sababu ya uovu wa wanadamu na akabakisha watakatifu tu kivipi dhambi ikarudi tena???

2. Na kama dhambi ilirudi tena je kulikuwa na sababu gani nyingine kubwa iliyopelekea watu wa kale waangamizwe kwa maji??

3.kwenye post ya kwanza umesema dunia ilikuwa inaongea lugha moja.... Je ni lugha gani hiyo?? Sasa ipo au ilitoweka? Na je kama ilitoweka kabisa ilikuwaje waandishi wa biblia (mfano Musa) waliwezaje tafsiri maandiko ya kale yenye maneno aliyoongea Henoko au Cain ilihali lugha zilikuja tofautishwa hivyo hakuwepo aliyefaham original language??

Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom