kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,746
Crackpot...
likewise all the "ish" vocolized by crackpot and extremist chanters here @ JF.... CattleRustler.
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Crackpot...
Acha uongo, labda ww ulikuwa mtoto, ukweli ni kwamba mlikata majina mengi sana ya watoto wa pwani na waislamu kwa ujumla na kutumika na wagalatia. Matokeo yake ndio hawa vilaza tulionao serikalini na wenye akili zao halisi wamebaniwa. Hii dhambi itaitesa taifa hadi kiyama. Kamuulize kaka yako atakuthibitishia hiviNasDaz,
Ninavyosema watu wanaakili za Bokoharam na maanisha bokoharam kwa maana yake halisi kuwa elimu ya magharibi haifai. Na akili hii ipo mapaka sasa hivi miaka 50 baada ya uhuru. Mimi nilisoma primary school miaka ya 80 na 90 dar. Kunakijana nilisoma nae muislam ambae alikuwaga wa kwanza darasani. Baadae akaanza kuingia kwenye dini na alipoingia sekondari mambo yakamshinda. Na tulikuwa tunasoma shule za serekali ambazo nyerere alizitaifisha ili na waislam waweze kusoma bila kukwazika na imani unazosema za kulishwa nguruwe. Ukweli kwamba miaka ya 80 na 90 watu wa mikoa ya kilimanjaro, mbeya na kagera walikuja pwani kumalizia shule kwasababu ilikuwa rahisi kufaulu kwasababu watu wa pwani hawakujituma shule na walipendelewa na nyerere nafasi nyingi za kwenda secondary za serekali kuliko uweozo wao. Na ndio maana watu wa kagera, kilimanjaro na mbeya wakawa wanakuja pwani kuzifata.
Pia swala la mfumo wa elimu kuwa umeridhi mfumo wa elimu wakati wa ukoloni ni uongo. Nyerere alizitaifisha shule za makanisa ili kuondoa mfumo wa wakoloni. Kuna wahindi tena waislam tumesoma nao shule hizo hizo za serekali na walikuwa wakifaulu vizuri sana. Pia wahindi ambo ambao sio wakristo na wengine ni waislam walifaulu vizuri shule za serekali na poa walikuwa na shule zao wenyewe nzuri sana kama mzizima secondary. Nante watu wa pwani kwanini hamkujifunza kwa wahindi waisilamu kupenda shule kama wao.
mwisho swala la shule za kanisa kuwa nzuri sio swala wakati wa ukoloni. Hata sasa hivi huko nchi za magharibi wakoloni walipotoka shule za makanisa ndio nzuri sana. Na hata huku bongo itaendelea kuwa hivyo hivyo kwa miaka kama mia ijayo shule za kanisa zitaemdelea kuwa shule nzuri. Na sababu ni philosophy ya kanisa. Wakristo sadaka zinatumika kuhudumia jamii kwa kujenga mahospitali, shule na vyuo. Wakristo wanaamini kueneza dini kwa kuisaidia jamii.
Tofauti na philosophy ya uislam unaotoka sauidi sasa hivi. Pesa yao inapelekwa kupigania dini na kujenga misikiti. Ndio maana sasa hivi kuna boko haramu na misikiti inajengwa kila maali huku pwani. Nitakupa dili. Waambie wasaudi unataka kujenga msikiti chini ya bahari uone watakapo kutupia hela kibao
Ham meri bahana, isa Matola itana bevakupha hai
Crackpot...
Can we conclude then that Europeans are superior to Arabs in terms of intelligence??
huyu baadaye mtoto wake atakuja kutuambia tusimseme vibaya osama bin laden.
acha kuishi kwa hisia na kuwa mtumwa wa dini na soma historia na kama wewe ni mvivu wa kusoma tembelea historical site na nenda Zanzibar upewe khabari za hawa waarabu halafu ndio urudi hapa kuwasifu waarabu.
unajuwa ni kwa nini Zanzibar hawataki kumsikia kabisa sultan jemshid? je wewe unavyopenda kuwa mwarabu si ungempa mkeo kabisa?
WAISLAMU WACHACHE WALIOINGIZA UISLAMU KILIMANJARO WALITOKANA NA WAFANYA BIASHARA WA MBALI AZIA ASIA ,UAJEMI ,SOMALIA Etc ...AMBAO WALIINGIA MOSHI TAMBARARE KULETA NGUO ...WENGINE WALIKUJA WAKATI WA UJENZI WA RELI TOKA NCHI NYINGINE ZILIZOKUWA KOLONI LA UJERUMANI AU UINGEREZA UPANDE WA KENYA ..
INFLUENCE YA UISLAMU MOSHI IPO MJINI ...HASA WASOMALI[ INAAMINIKA PIA KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA MAMA YAKE ANA ASILI YA KILIMANJARO KWENYE JAMII HII WAKIWA NA NDUGU HADI KIBOSHO]....
PIA MJI WA MOSHI ULIKUWA UKIKALIWA NA WATU WACHACHE SANA HASA WAGENI ,WAISLAMU HASA WASOMALI NA WAHINDI...DINI YA KIISLAMU ILIENEA MACHAME ,MASAMA NA MARANGU KOTE KIDOGO ,..NA HAIKUPANUKA SANA KWA KUWA WENGI WA WAUMINI WAKE WALIKWUA WA WAKIBATIZWA HASA KWA KUOA AU KOLEWA.....HATA KWENYE FAMILIA YA MANGI MKUU ALIRUHUSU Baadhi ya ndugu zake kuwa waislamu ......na alama hadi leo ipo kwa kuwa na waislamu wachache kilimanjaro
ILA NI KWELI WAISLAMU WA MOSHI WENGI WANA MSIMAMO WA KATI
KUHUSU FAMILIA YA SAIDI MWEMA WAO WANA MJI MJINI MOSHI NA KULE MACHAME
mkuu mimi naelewa kusoma na kuandika swahili, French, Russian na kizaramo.
bandiko langu nimeandika kiswahili jibu kiswahili usilete mambo ya copy and paste hapa.
Thanks for this nice post.
Waislam wengi wangekuwa na mtazamo kama huu, hata mifarakano ya kidini ingepungua. Tatizo ni kuwa kuna watu kama Moh Said na mwenzake Ilunga na wengineo ambao ndio wamekomalia uongo wa kusema "sehemu zenye waislamu wengi zimeachwa duni makusudi, huku sehemu zenye wakristo zikisaidiwa na serikali yenye Mfumo kristo". Ukweli ni kuwa nchi nzima imejaa umaskini na maendeleo duni. Mwaka 2011 niliwahi kubishana na "Mohamed Shossi" na mwenzake "Topical "ambao walikuwa na mtazamo kama huo wa akina Moh Said. Nilijaribu kuwaeleza kuwa nchi nzima imejaa umaskini na huko vijijini, haijalishi wewe ni mkristo, mpagani au muislam. Lakini sometimes inakuwa vigumu sana kuwashawishi watu ambao wapo kwenye DENIAL.
In fact, kwenye elimu, hata mikoa kama Kilimanjaro, Mbeya na Kagera sio kwamba ndio wamesoma sana... Ni kwamba wana unafuu kidogo tu, still kuna matatizo makubwa sana kwenye Elimu, na hata baadhi ya sehemu kama vile upareni (Kilimanjaro), (Chunya, Mbarali na Ileje (Mbeya) na maeneo ya Biharamulo(Kagera) uduni wa elimu katika maeneo hayo hautofautiani na maeneo kama Simiyu, Tabora, Dodoma na mikoa ya pwani.
Kwa wakati huu (miaka 53 ya uhuru), si sahihi kulaumu dini (au vitu vya kufikrika kama "mfumo kristo") kwa uduni wa Elimu katika maeneo hayo, badala yake ni Serikali ya CCM ndio inatakiwa kulaumiwa kwa utawala mbaya, sera mbovu, na ufisadi.
Gombesugu!
You are entitled to your opinion as I am. You don't think Moh Said is divisive, I do.
I wonder if you have read all his writings?!?
He once asserted that the country's population is made of only two groups: Christians and Muslims and that Muslims are being marginalized in all developmental aspects by what he termed "christian lobby" which later was coined by Ilunga as "mfumo kristo". He claims that Nyerere's unification of Tanganyika and Zanzibar aimed at suppressing Islam and controlling Zanzibar Muslims. In some writings he cited CCM-chama cha mapinduzi as "Catholic church Movement",He also says that during CCM's nomination of Benjamin Mkapa for presidential candidacy in 1995, "hymns were heard" suggesting that the meeting was a kind of battle between Christians and Muslims. He claims to date that NECTA, supposedly a Catholic Church Proxy, is deliberately sabotaging moslems... To you he is not divisive, to me he is. We can agree to disagree.
Do you think Matola he is available all the time here in jf?
today is weekend I have some personal business with my siblings, there is plenty of jobless who are available here 24/7. but am not, amoung those.
so am here now tell me what u want?
Kwa nini baba yake wa kufikia kahtaan asimtafutie mwalimu wa kiingereza.Jamani, mbavu zangu! hizi lugha za watu ni lazima mzitumie? kama lugha ya watu inakupa shida si uandike Kiswahili tu.
Jamani, mbavu zangu! hizi lugha za watu ni lazima mzitumie? kama lugha ya watu inakupa shida si uandike Kiswahili tu.
Kwanza aache kula nguruwe.
naomba uwe mwalimu wangu wa ile lugha ya mbinguni nina hamu ya kujifunza.Jamani, mbavu zangu! hizi lugha za watu ni lazima mzitumie? kama lugha ya watu inakupa shida si uandike Kiswahili tu.
nina nia ya kujifunza hili na kupata fact, unaweza kunisaidia link ili nipanuwe ufahamu wangu?Waarabu hawakuja Tanzania wala Tanganyika wala Afrika in this matter, Waarabu Afrika ni kontinenti la asili yao. Huko Asia ambako wanakuwa depicted kuwa ndio kwao, "in reality" wame "spill over" tu kutokana na nature ya jina "Arabiya" = Caravan, Arabs = "people of the caravan" watu wa misafara.
Sijui hii "notion" ya kuwa Waarabu ni wageni hapa Africa imetokea wapi? na historical facts zake ni zipi?
nina nia ya kujifunza hili na kupata fact, unaweza kunisaidia link ili nipanuwe ufahamu wangu?
hapa nilipo nakula nguruwe ya kuchoma nashushia na azam cola.
wewe suikushangai hata ukipewa mavi utakula huna kinyaahapa nilipo nakula nguruwe ya kuchoma nashushia na azam cola.