Asilimia 65 ya wana JF wanakaa dar

Tuanze na Mimi , Mimi sio wa dar nipo GEITA kama na wewe upo mkoani jitokeze ili tuone kweli kama wapo wengi kuliko sisi, tafadhali usione aibu hata kama upo koromije we sema tu
Mimi niko Kilimanjaro
 
Nimefanya kautafiti kangu ka muda mrefu kidogo hatimaye nimegundua kuwa 65% ya wana jf wanakaa dar.
Ilo ndilo mnajua, lakini wakija Panya Road mnakimbizana na wengine tukiwauliza mnakana, watekaji wanateka nyie hamjui kijitetea, kazi kushindia vibanzi vikavu na mishikaki, uchufu nyie, kipindupindu nyie, kunuka vikwapa nyie
 
Ndio hivyo tena ufanye fanye ukishauza yale mazao uhamie dar na wewe huko uwe unaenda kipindi cha mavuno
Mkuu dar nimesikia sio kama tunavyo simliwa ni totauti maana kuna mdau kapost picha za tandale kwa mtogole nimeishiwa pozi la kwenda dar
 
Kwa hesabu nilioifanya mpaka sasa wa mikoani tupo juu yaan tumewafunika Dares_ awoman [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…