Asilimia 82.5 ya pesa taslimu iliyopo katika mzunguko ni noti ya shilingi 10000

Hiyo ni pesa nyingi sana kuwepo kwenye mzunguko na ndiyo maana vitu vinapanda bei kila siku na bado watu wananunua tu.
Gavana wa benki kuu aondoe robo kama siyo nusu ya pesa yote iliyo katika mzunguko. Ili uchumi ukue
Aondoe hazipeleke wapi tena?

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…