Asilimia 88 ya vijana (umri 30 - 35) hutegemea wazazi na mashemeji

Jombaa mambo ni ngumu kwa kitaa tofauti na unavyofikiria, ndio kuna mabwenyenye wameuweka kwa Home tu na kwa mashemeji ila kuna wengine wapo huko kwa sababu mambo haziendi
 
Kuna shemeji yangu kazaliwa 1985 anaishi kwa shemeji yake aliyemuoa dada yake na hana dalili za kuondoka hivi karibuni. Najua hayanihusu ila nashangaaaga saana
umbea huo
 
Mchezo hatari sana huu kwa ustawi wa familia
 
Wewe unaongelea hayo tu,kuna wengine wameoa wameenda kukaa na wake zao nyumbani kwa wazazi wao.yaani nyumba aliyoijenga Baba yake kapewa room mbili za pembeni anaishi na mke wake hapo hapo pamoja na wazazi
 
hata mimi nnao hapa ndani kwangu watoto wa mashemeji zangu
 
Kumbuka na hao mashemeji ni vijana pia, Halafu watu hudanganya Sana magufuli alishasema kuwa Karine hii huwezi danganya maaana Kwa uhalisia zaid ya vijana asilimia 90 hujitegemea tofauti na miaka ya 90

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…