Asilimia 90 ya wadada nilioachana nao kwa sababu walitaka kunipanda kichwani na kuni-control vile watakvyo. Wadada wa kisasa wamekuwa "control freaks"

calm down gentleman, calm down

kwa neema na baraka za Mungu,
na vitu vingi sana karibu katika kila kitu humu jukwaani,
ila muda ni changaoto mno aise,

but,
as brothers of this very beautiful country we must love each other regardless on how we differ in opinions or our political affiliations
 
Tupo pamoja Gentleman 😆☺️😊
 
Ushauri kwa ambao bado hamjaingia kwenye ndoa hakikisha unamuwin mwanamke for the first time iwe ni kuvunja laini ya simu sawa tu una haki ya kufanya hivyo
Kuvunja laini kwa kosa lipi? Au unavunja tu kama kichaa wakati hakuna chochote kwenye simu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…