Asilimia 90 ya wadada nilioachana nao kwa sababu walitaka kunipanda kichwani na kuni-control vile watakvyo. Wadada wa kisasa wamekuwa "control freaks"

Kikubwa nanainkamuwahi mwenzie
Ukiwa wewe mnyenyekevu anakuwahi kukucontrol
Akiwa yeye mnyenyekevu unamuwahi unamcontrol

Au sio boss?


Natania🤣🤣
Hayo sio mapenzi,

Kwenye mapenzi ya kweli hua hakuna aliye juu ya mwenzake wala aliye chini ya mwenzake,kila mmoja kumuheshimu mwenzake na kumsikiliza,

Hapa naongelea mapenzi ya watu wanaojitambua.
 
Sahihi kbsa mkuu
 
Watu nyie watu yaan nyie viumbe wa jf mnavo coment ni kama hakuna mtu hachapwi na demu wake humu, ni kama sio wewe juzi umeambiwa hutoki ndani ya nyumba, sio wewe uliambiwa usipokuja na maziwa usije nyumbani, yaan sio wewe umepigiwa simu jana tu ukiulizwa kwa nin umekunywa uji wa mto, nyie watu leo mnajifanya nyie ndio kusema kwenu na friday mwinge aliambiwa hakuna kibwenye kama hafui boxer, good comenters na juzi mwingne amelala kwene koch bed aliambiwa hajaoga, wanaume tunapenda misifa kweli ila kiuhalisia watu wanafulishwa, wanadekishwa, wanapikishwa makwao lakini jf n vidume wa shoka kweli. Hakuna hata mmoja anaweza akasema alichelewa juzi kurud akaambiwa chakula kipo jikon ukimaliza uoshe sahan yako yaan nyie watu kwa uongo hamjambo.
 
Huko unako it's control ni kuonesha leakage na madhaifu uliyonayo wewe, she's teaching you to come back to your throne. Ila Sasa inarudije umesha onesha weakness!? Learn your lessons and move on.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…