Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
Tutazungumza Shem wangu...[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona kama ishaisha siku hii, ukitaka tuimalize vipi shem
Itafanyiwa Compansation[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutazungumza Shem wangu...[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona kama ishaisha siku hii, ukitaka tuimalize vipi shem
Unajenga urafiki na Watu fake, na yawezekana unapenda classic life na huwa unakawaida ya kujisema ulivo hata kiuchumi, au unadate na ambao huwavutii kivile that's y they don't care, but inashangaza unalea tabia halafu unaichukia bila hatua imara, tumia kwa hiari na usemi wema usizidi uwezoKweeema?
Sijui shida itakuwa nini Mimi siyo tajiri nina maisha yangu ya kawaida but uongo dhambi ninajipenda, nanajua kupendeza ata kama nguo ni ya bei ndogo, ninajua kupangilia, inshort ninajipenda.
Sina tabia ya kuomba pesa kwa mwanaume nae date nae, lakin asilimia 90 ya wakaka nilio date nao, na ambao ni marafiki zangu wamekuwa wakiniomba mm pesa, it's like wananichuna.
Yaan inashangaza ata nidate na mtu mwenye uwezo vipi, yeye hatanipa pesa badala yake ataniomba mimi. Narudia Tena Sina maisha ya kuji proud, kwa kuongea kwamba mm Nina kitu flani au kwetu Kuna maisha Gani, but inatokea tu ynakuta mm ndio naombwa. Hiki kitu kinanishangaza na kuniumiza Sana mpaka ninajiona Nina shida Gani?
Wajuzi naomba mnisaidie nakosea wapi nipo tayari kupokea +ve and - ve comment.
Ninacho wakubali wanawake 50/50 kwenye hela yenu, kwenye matatizo (mf kule Ukraine) huwaga haipo kabisa.Ila hela inapendeza kuombwa na mwanamke tu, mwanaume akiomba hela inakata nyg sanaaa
Hawaombi lakini.So, bottom line ni unatoa...iwe moja kwa moja au indirectly ni unatoa tu! Ukiwa na mtu kutoa hakukwepeki, mengine ni maneno yenu tu, japo yanasaidia kutufanya tusibweteke kama wanaume.
Safi sana! Imalizwe kibingwa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Safi sana! Imalizwe kibingwa!
𝐇𝐮𝐣𝐚𝐤𝐨𝐬𝐞𝐚 𝐦𝐤𝐮𝐮, 𝐦𝐚𝐚𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐝𝐞𝐦𝐮 𝐤𝐰𝐚 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐮𝐦𝐞 𝐬𝐢𝐨 𝐦𝐢𝐬𝐢𝐟𝐚 𝐡𝐢𝐲𝐨 𝐡𝐚𝐭𝐚 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐧𝐢 𝐜𝐡𝐨𝐤𝐚 𝐦𝐛𝐚𝐲𝐚, 𝐡𝐚𝐡𝐚𝐡𝐚𝐡𝐚, 𝐧𝐢𝐦𝐞𝐰𝐚𝐬𝐡𝐮𝐡𝐮𝐝𝐢𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐜𝐡𝐨 𝐲𝐚𝐧𝐠𝐮 𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐢𝐬𝐡𝐢 𝐧𝐚𝐨Nadhani huyu mdau atakuwa anatokea ule mkoa wanakula sana senene
Hapo chacha [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Na tulivyo na masimango sasa. Mwanaume anaishi kwa mgongo wa mwanamke namsikitiaga sana. Sisi moyo wa kulea mpenzi hatunaga ndo maana siku vikiumana tunatoa maneno yooote.
Hamna simnataka 50/50 [emoji1]Mwanaume kulelewa hata haipendezi
[emoji1][emoji1][emoji1] kwa ground ni tofauti sanaNadhani wapite hapa wasome huu uzi, wanawake wanahonga sana tu, ni maneno ya humu wanasema hela yao haitoki lakini mbona wana wanapewa sana tu na wanawake zao
Njoo kwangu mimi stakuomba pesaKweeema?
Sijui shida itakuwa nini Mimi siyo tajiri nina maisha yangu ya kawaida but uongo dhambi ninajipenda, nanajua kupendeza ata kama nguo ni ya bei ndogo, ninajua kupangilia, inshort ninajipenda.
Sina tabia ya kuomba pesa kwa mwanaume nae date nae, lakin asilimia 90 ya wakaka nilio date nao, na ambao ni marafiki zangu wamekuwa wakiniomba mm pesa, it's like wananichuna.
Yaan inashangaza ata nidate na mtu mwenye uwezo vipi, yeye hatanipa pesa badala yake ataniomba mimi. Narudia Tena Sina maisha ya kuji proud, kwa kuongea kwamba mm Nina kitu flani au kwetu Kuna maisha Gani, but inatokea tu ynakuta mm ndio naombwa. Hiki kitu kinanishangaza na kuniumiza Sana mpaka ninajiona Nina shida Gani?
Wajuzi naomba mnisaidie nakosea wapi nipo tayari kupokea +ve and - ve comment.
HatutakiHamna simnataka 50/50 [emoji1]
Sana'a tuu!!!Umeshawahi kumhudumia me wako akiwa kapigika?
Hapana,napenda
Nikupe hongera zako wanawake kama wewe ndio mnapaswa kusherehwkea siku ya wanawake duniani
Mwisho hapo ndo main point!!!So, bottom line ni unatoa...iwe moja kwa moja au indirectly ni unatoa tu! Ukiwa na mtu kutoa hakukwepeki, mengine ni maneno yenu tu, japo yanasaidia kutufanya tusibweteke kama wanaume.
Alaah, kumbe wengi mnatoa, Sasa kelele za Nini?Niliambiwaga na mmoja tu tena alitaka nimkopeshe na nikamkopesha japo tulilipana kwa mbinde sana na yeye nilimkopesha sababu alikua ananitoaga na hiyo ni miaka mitano nyuma.
Ila kama kweli bby ananitoaga akikwama akiniambia nampush. Mwanaume anaetoa ana haki ya kusaidiwa akiomba msaada. Sio hao wengine kama wa bidada. Wao tu ndo wana njaa kama wanawake.
Aibu zaidi ya kuoneana uchi?Yeah wanaume acheni kuomba hela inatia aibu Sana wengine wanaomba hadi zawadi[emoji23][emoji23]