Asilimia 90 ya Wanaume niliokuwa nao kimapenzi waliniomba hela

Asilimia 90 ya Wanaume niliokuwa nao kimapenzi waliniomba hela

ata nidate na mtu mwenye uwezo vipi, yeye hatanipa pesa badala yake ataniomba mimi.
Hapa nimekaa nawaza hili linawezekana vipi ?

Au utakuwa una date na Wanaume kijinsia ila ni wanawake wenzako ki silika.
 
Alaah, kumbe wengi mnatoa, Sasa kelele za Nini?
Bidada unaemuongelea, amesema tu kutokea kuombwa pesa na watu kadhaa. Hajasema Kila mtu kamwomba mara ngapi na katika ground zipi.
Hivyo mwambieni tu kuwa Ni kawaida,acheni kumpotosha kwani Nini maana ya kupendana?
Msijiweke kuwa watu wa kununiliwa Sana.
Kupewa pesa ni kununuliwa? Kama ni kununuliwa basi mimi Sina tatizo na kununuliwa na mpenzi wangu.
Sio kawaida mwanaume kuomba hela. Sijawahi kuombwa hela na mwanaume, nilimsemea alikua na shida akaomba nimkopeshe na alinilipa japo kwa mbinde. Ila Sina tatizo na mwanaume anaenipaga akikwama. Haijawahi tokea nikaombwa ila nitampa ikitokea.

Sio kawaida mwanaume kuomba omba hela kwa mwanamke hasa ikiwa hajawahi kula zako
 
Hawaombi kwa sababu hawapati changamoto, au wameshawasoma saikolojia zenu.
Swala Ni kwamba tatizo linapotokea lapaswa kutatuliwa .
Kuombwa utatuzi Ni sehemu ya kushirikishwa.
Bora waendelee kutopata changamoto wasituombe.
 
Kupewa pesa ni kununuliwa? Kama ni kununuliwa basi mimi Sina tatizo na kununuliwa na mpenzi wangu.
Sio kawaida mwanaume kuomba hela. Sijawahi kuombwa hela na mwanaume, nilimsemea alikua na shida akaomba nimkopeshe na alinilipa japo kwa mbinde. Ila Sina tatizo na mwanaume anaenipaga akikwama. Haijawahi tokea nikaombwa ila nitampa ikitokea.

Sio kawaida mwanaume kuomba omba hela kwa mwanamke hasa ikiwa hajawahi kula zako
Hapa Sasa ndo kwenye point yangu, Bora ningekuwa nawalia vyao, lakin walaaa,
 
Inafurahisha sana pale wanawake wanapofikiria wakiwa na kipato watapata mapenzi ya dhati only to find out guys love them for their paper and they hate it.

Mwanamke lilia uzuri sio kipato, wanaume watashindana kukuhudumia na kufanya maisha yako na ya uzao wako kuwa rahisi.
 
Maybe labda muonekano wako una attract Mario zaidi........ au history yako ya mahusiano kuna Mario ulidate nae so wanaambiana "kitonga hicho...........".
Never sijawah kuwa na mariooo
 
Inafurahisha sana pale wanawake wanapofikiria wakiwa na kipato watapata mapenzi ya dhati only to find out guys love them for their paper and they hate it.

Mwanamke lilia uzuri sio kipato, wanaume watashindana kukuhudumia na kufanya maisha yako na ya uzao wako kuwa rahisi.
Kwa hiyo according to thread yangu umeconclude mm ni mbaya?😀🙌
 
Hapana,
Kwa sababu hili kwake yeye ameliona Ni tatizo.
Kuna wanawake kibao wamewahi kufanya Hivi na hawajawahi kujuta.
Nadhani Ni coincidence tu.
Kwamba mkiwa kwenye mahusiano mtu kapata changamoto na katika kutapatapa kaanzia kwako, na wewe umemuelewa, kwani si wanakupa sababu ambazo zinakugusa, au unatoa tu.
Sasa Kama umeelewa sababu zao tatizo Nini, kwani wamekulazimisha.?
Nikuhakikishie wewe si mwanamke wa kwanza, Seema wapi wengi ambao hukataa kimya kimya lakini pasipo kuona Kama hili Ni ajabu. Hata wewe Kama ungekataa na kupiga kimya usingeona kero hata kuombwa mara Mia Kama una ubavu wa kudate na wame 100.
⁉️
 
Kweeema?

Sijui shida itakuwa nini Mimi siyo tajiri nina maisha yangu ya kawaida but uongo dhambi ninajipenda, nanajua kupendeza ata kama nguo ni ya bei ndogo, ninajua kupangilia, inshort ninajipenda.

Sina tabia ya kuomba pesa kwa mwanaume nae date nae, lakin asilimia 90 ya wakaka nilio date nao, na ambao ni marafiki zangu wamekuwa wakiniomba mm pesa, it's like wananichuna.

Yaan inashangaza ata nidate na mtu mwenye uwezo vipi, yeye hatanipa pesa badala yake ataniomba mimi. Narudia Tena Sina maisha ya kuji proud, kwa kuongea kwamba mm Nina kitu flani au kwetu Kuna maisha Gani, but inatokea tu ynakuta mm ndio naombwa. Hiki kitu kinanishangaza na kuniumiza Sana mpaka ninajiona Nina shida Gani?

Wajuzi naomba mnisaidie nakosea wapi nipo tayari kupokea +ve and - ve comment.
Unatembea na na wanaume uliowazidi umri, kwa hyo wanakuchulia kama dada mkubwa pindi watakapokuwa na shida yyte.
 
Hilo lisikupe shida, shida ni jamii inayo kuzunguka na tabia zake lkn muonekano
 
Back
Top Bottom