Asilimia 90 ya Wanaume niliokuwa nao kimapenzi waliniomba hela

Asilimia 90 ya Wanaume niliokuwa nao kimapenzi waliniomba hela

Sema shida yako naiona hapo unapobadilisha mabwana kama nguo lakini iwapo ungekuwa unajipa muda wa kutosha na kuhakikisha unaingia kwenye mahusiano ya mtu mmoja mnayependana kwa dhati ya moyo kwa kujiridhisha kabisa then ikifika hapo unakuwa na amani yote hata ukimpa hela yako au zawadi za thamani au hata kum boost Kwenye biashara zake bila kutarajia any return in future.

Lakini huko kujichanganya kwingi hivyo naona siyo!

Rejea unconditionally love features.
 
Laiti ungejua ndugu yangu , sema ngoja ninyamaze
 
Kwa uelewa wangu shangingi ni mtu anae chuna, kumbe wapi mashangingi wanachunwaa?🙄
Eee. We jiweke kshangingi alaf utoke na watu wa chini ya hadhi yako uone kama ujapigwa mizinga ww
 
Kweeema?

Sijui shida itakuwa nini Mimi siyo tajiri nina maisha yangu ya kawaida but uongo dhambi ninajipenda, nanajua kupendeza ata kama nguo ni ya bei ndogo, ninajua kupangilia, inshort ninajipenda.

Sina tabia ya kuomba pesa kwa mwanaume nae date nae, lakin asilimia 90 ya wakaka nilio date nao, na ambao ni marafiki zangu wamekuwa wakiniomba mm pesa, it's like wananichuna.

Yaan inashangaza ata nidate na mtu mwenye uwezo vipi, yeye hatanipa pesa badala yake ataniomba mimi. Narudia Tena Sina maisha ya kuji proud, kwa kuongea kwamba mm Nina kitu flani au kwetu Kuna maisha Gani, but inatokea tu ynakuta mm ndio naombwa. Hiki kitu kinanishangaza na kuniumiza Sana mpaka ninajiona Nina shida Gani?

Wajuzi naomba mnisaidie nakosea wapi nipo tayari kupokea +ve and - ve comment.
Umebarikia mkono ule utoao, wewe hutaki mibaraka?
 
Au siyoo,
Declaration: Uzuri na Ubaya ni kutokana na Jicho la mtu,, hizi ni relative terms

Under ceteris paribus, Demu ukiwa mzuri,, vijana ni mara chache sana kukuomba hela...

Mostly wataomba papuchi na watafanya liwezekanalo waipate,, huo muda wa kuomba hela wautoe wapi..

and Vice versa is true

Pili hilo la wewe kutokuomba hela unafanya waone unaweza kujihudumia so wana press Order na wewe unamaliza...

Furahia mapenzi tu Mkuu,, mbona wanaume tunaombwa hela kila kukicha na tuko fresh tu,,, Mnasisitiza 50/50 so mm naona hakuna tatizo
 
Back
Top Bottom