- Thread starter
- #221
Kwa uelewa wangu shangingi ni mtu anae chuna, kumbe wapi mashangingi wanachunwaa?🙄Labda umejiweka kishangingi shangingi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa uelewa wangu shangingi ni mtu anae chuna, kumbe wapi mashangingi wanachunwaa?🙄Labda umejiweka kishangingi shangingi.
Au siyoo,-Mwisho wa kunukuu-
Laiti ungejua ndugu yangu , sema ngoja ninyamazeSema shida yako naiona hapo unapobadilisha mabwana kama nguo lakini iwapo ungekuwa unajipa muda wa kutosha na kuhakikisha unaingia kwenye mahusiano ya mtu mmoja mnayependana kwa dhati ya moyo kwa kujiridhisha kabisa then ikifika hapo unakuwa na amani yote hata ukimpa hela yako au zawadi za thamani au hata kum boost Kwenye biashara zake bila kutarajia any return in future.
Lakini huko kujichanganya kwingi hivyo naona siyo!
Rejea unconditionally love features.
Eee. We jiweke kshangingi alaf utoke na watu wa chini ya hadhi yako uone kama ujapigwa mizinga wwKwa uelewa wangu shangingi ni mtu anae chuna, kumbe wapi mashangingi wanachunwaa?🙄
Umebarikia mkono ule utoao, wewe hutaki mibaraka?Kweeema?
Sijui shida itakuwa nini Mimi siyo tajiri nina maisha yangu ya kawaida but uongo dhambi ninajipenda, nanajua kupendeza ata kama nguo ni ya bei ndogo, ninajua kupangilia, inshort ninajipenda.
Sina tabia ya kuomba pesa kwa mwanaume nae date nae, lakin asilimia 90 ya wakaka nilio date nao, na ambao ni marafiki zangu wamekuwa wakiniomba mm pesa, it's like wananichuna.
Yaan inashangaza ata nidate na mtu mwenye uwezo vipi, yeye hatanipa pesa badala yake ataniomba mimi. Narudia Tena Sina maisha ya kuji proud, kwa kuongea kwamba mm Nina kitu flani au kwetu Kuna maisha Gani, but inatokea tu ynakuta mm ndio naombwa. Hiki kitu kinanishangaza na kuniumiza Sana mpaka ninajiona Nina shida Gani?
Wajuzi naomba mnisaidie nakosea wapi nipo tayari kupokea +ve and - ve comment.
Declaration: Uzuri na Ubaya ni kutokana na Jicho la mtu,, hizi ni relative termsAu siyoo,