Asilimia 90 ya Wanaume niliokuwa nao kimapenzi waliniomba hela

ata nidate na mtu mwenye uwezo vipi, yeye hatanipa pesa badala yake ataniomba mimi.
Hapa nimekaa nawaza hili linawezekana vipi ?

Au utakuwa una date na Wanaume kijinsia ila ni wanawake wenzako ki silika.
 
Kupewa pesa ni kununuliwa? Kama ni kununuliwa basi mimi Sina tatizo na kununuliwa na mpenzi wangu.
Sio kawaida mwanaume kuomba hela. Sijawahi kuombwa hela na mwanaume, nilimsemea alikua na shida akaomba nimkopeshe na alinilipa japo kwa mbinde. Ila Sina tatizo na mwanaume anaenipaga akikwama. Haijawahi tokea nikaombwa ila nitampa ikitokea.

Sio kawaida mwanaume kuomba omba hela kwa mwanamke hasa ikiwa hajawahi kula zako
 
Hawaombi kwa sababu hawapati changamoto, au wameshawasoma saikolojia zenu.
Swala Ni kwamba tatizo linapotokea lapaswa kutatuliwa .
Kuombwa utatuzi Ni sehemu ya kushirikishwa.
Bora waendelee kutopata changamoto wasituombe.
 
Hapa Sasa ndo kwenye point yangu, Bora ningekuwa nawalia vyao, lakin walaaa,
 
Inafurahisha sana pale wanawake wanapofikiria wakiwa na kipato watapata mapenzi ya dhati only to find out guys love them for their paper and they hate it.

Mwanamke lilia uzuri sio kipato, wanaume watashindana kukuhudumia na kufanya maisha yako na ya uzao wako kuwa rahisi.
 
Maybe labda muonekano wako una attract Mario zaidi........ au history yako ya mahusiano kuna Mario ulidate nae so wanaambiana "kitonga hicho...........".
Never sijawah kuwa na mariooo
 
Kwa hiyo according to thread yangu umeconclude mm ni mbaya?😀🙌
 
⁉️
 
Unatembea na na wanaume uliowazidi umri, kwa hyo wanakuchulia kama dada mkubwa pindi watakapokuwa na shida yyte.
 
Hilo lisikupe shida, shida ni jamii inayo kuzunguka na tabia zake lkn muonekano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…