Asilimia 90 ya Wanaume niliokuwa nao kimapenzi waliniomba hela

Asilimia 90 ya Wanaume niliokuwa nao kimapenzi waliniomba hela

Una nyota ya kudangwa.
Kwa sababu hata kama una maisha mazuri au una hela wanaume wenye hela ndio wanapendaga wanawake wa hivi, na haimaanishi atakuomba hela bali atakuwa yeye anakupa. Tena atakupa nyingi kukuonesha anaweza kukumiliki.
"Mwenye nacho ndio huwa anaongezewa" siku hizi.
Gaidi hilo katika nafasi yake..😂
 
Kuna namna unajiweka ndio maana wanakuja hao wanakuomba hela mamy.

Itakua unaonyesha uko desperate sana na mahusiano au sio pisi kali? [emoji85][emoji85][emoji85].

Level up..
Kama siyo oisi Kali vipi kwa wale ambao hatujawah kuonana?
 
Pride will take you anywhere! Ni either umri umeenda unajifanya cheap and so una attract watu wasiofaa au unaoenda uonekane una uwezo.

Hakuna mwanaume mwenye uwezo anayeweza kumwomb mwanamke fedha, lazima unajifanya una uwezo. Mfano namna tu unavyojieleza yaonyesha a kind of pride...

Check your character
Nisaidie mkuu how, ? Mm najiona Niko sawa na siko desperate kabisa
 
Hadi humu jf nilishawah kuwa na marafiki wawili wa kawaida tu ambao hatujawah Onana but tulikuwa tunawasiliana ,but urafiki wetu pia ukavinjoka baada ya kuwa wananiomba pesa
Yaelekea una vijisifa sifa flani hivi.
 
Tatizo lako una deal na wrong people au unalazimisha mapenzi unaanza kuwaonyesha watu material ya vitu au vizawadi zawadi ndio maana wanajua ww kwamba una pesa jaribu kuwa normal una deal na mtu yyote watu siku hizi wanatake advantage ndio maana wanakupiga virungu pls usilazimishe mpz kuwa na misimamo yako .
 
Back
Top Bottom