Asilimia 90 ya Wanaume niliokuwa nao kimapenzi waliniomba hela

Una nyota ya kudangwa.

Kwa sababu hata kama una maisha mazuri au una hela wanaume wenye hela ndio wanapendaga wanawake wa hivi, na haimaanishi atakuomba hela bali atakuwa yeye anakupa. Tena atakupa nyingi kukuonesha anaweza kukumiliki.

"Mwenye nacho ndio huwa anaongezewa" siku hizi.
Kabisaaaah yaan[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Hadi humu jf nilishawah kuwa na marafiki wawili wa kawaida tu ambao hatujawah Onana but tulikuwa tunawasiliana ,but urafiki wetu pia ukavinjoka baada ya kuwa wananiomba pesa
Marafiki wa jinsia gani?
 
Kweeema?

Sijui shida itakuwa nini Mimi siyo tajiri nina maisha yangu ya kawaida but uongo dhambi ninajipenda, nanajua kupendeza ata kama nguo ni ya bei ndogo, ninajua kupangilia, inshort ninajipenda.

Sina tabia ya kuomba pesa kwa mwanaume nae date nae, lakin asilimia 90 ya wakaka nilio date nao, na ambao ni marafiki zangu wamekuwa

Wajuzi naomba mnisaidie nakosea wapi nipo tayari kupokea +ve and - ve comment.
Mimi nataka kujua tu hiyo 90% ni kwa wanaume wangapi na hiyo 10% inasimamia wanaume wangapi ki idadi.
isije ikawa watu watatu wakasababisha utazalilishe wanaume wengi humu.
 
Kweeema?

Sijui shida itakuwa nini Mimi siyo tajiri nina maisha yangu ya kawaida but uongo dhambi ninajipenda, nanajua kupendeza ata kama nguo ni ya bei ndogo, ninajua kupangilia, inshort ninajipenda.

Sina tabia ya kuomba pesa kwa mwanaume nae date nae, lakin asilimia 90 ya wakaka nilio date nao, na ambao ni marafiki zangu wamekuwa wakiniomba mm pesa, it's like wananichuna.

Yaan inashangaza ata nidate na mtu mwenye uwezo vipi, yeye hatanipa pesa badala yake ataniomba mimi. Narudia Tena Sina maisha ya kuji proud, kwa kuongea kwamba mm Nina kitu flani au kwetu Kuna maisha Gani, but inatokea tu ynakuta mm ndio naombwa. Hiki kitu kinanishangaza na kuniumiza Sana mpaka ninajiona Nina shida Gani?

Wajuzi naomba mnisaidie nakosea wapi nipo tayari kupokea +ve and - ve comment.
Achana na wanaume wazuri wa sura
 
Wewe unatakuwa na nyota ya mshumaa... na wala sio Kisopwa endelea hivyo Malovee
 
Nijaribu mimi hutajuta.Kwanza kanuni niliyonayo ni marufuku mwanamke kunipa hela yake.

Mimi ndo nimhudumie
Hivi mwanaume unapata wapi ujasiri wa kumuomba hela mwanamke?
Binafsi hua ninapenda sana wanawake walionizidi umri, na ikitokea mwanamke anipe hata zawadi tu hua nafsi yangu haitulii mpaka na yeye nimpe zawadi yenye thamani zaidi ya ile aliyonipa.
Kuna mmoja alikua ananibembeleza kishenzi atoe akiba yake bank niizungushie kwenye biashara yangu ila mimi nilikua namkatalia.
Ni bora hata zawadi hua nakosa ujasiri wa kukataa kwa kuhisi nitamuudhi anaenipa, ila suala la kupewa pesa na mwanamke kwangu hua ninahisi ni udhalili uliopitiliza.
 
Hati ya maandishi yako yanatambulisha "character" uliyonayo...
 
Kweeema?

Sijui shida itakuwa nini Mimi siyo tajiri nina maisha yangu ya kawaida but uongo dhambi ninajipenda, nanajua kupendeza ata kama nguo ni ya bei ndogo, ninajua kupangilia, inshort ninajipenda.

Sina tabia ya kuomba pesa kwa mwanaume nae date nae, lakin asilimia 90 ya wakaka nilio date nao, na ambao ni marafiki zangu wamekuwa wakiniomba mm pesa, it's like wananichuna.

Yaan inashangaza ata nidate na mtu mwenye uwezo vipi, yeye hatanipa pesa badala yake ataniomba mimi. Narudia Tena Sina maisha ya kuji proud, kwa kuongea kwamba mm Nina kitu flani au kwetu Kuna maisha Gani, but inatokea tu ynakuta mm ndio naombwa. Hiki kitu kinanishangaza na kuniumiza Sana mpaka ninajiona Nina shida Gani?

Wajuzi naomba mnisaidie nakosea wapi nipo tayari kupokea +ve and - ve comment.
Kabla hujazama in love na mkaka wa watu,mchunguze kazi yake,anauwezo wa kujihudumia?

Sijui unatumia vigezo gani kuchagua Bois

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ila hela inapendeza kuombwa na mwanamke tu, mwanaume akiomba hela inakata nyg sanaaa
Mwanaume anaombaje hela lakini? Nahisi naweza nikamblock hapo hapo. Uzuri wanajuaga Sina hela sasa wanaanzaje kuniomba [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hadi humu jf nilishawah kuwa na marafiki wawili wa kawaida tu ambao hatujawah Onana but tulikuwa tunawasiliana ,but urafiki wetu pia ukavinjoka baada ya kuwa wananiomba pesa
Fanya hip hop , [emoji1]
 
Back
Top Bottom