Asilimia 90 ya Wanaume niliokuwa nao kimapenzi waliniomba hela

Asilimia 90 ya Wanaume niliokuwa nao kimapenzi waliniomba hela

Mwanaume anaombaje hela lakini? Nahisi naweza nikamblock hapo hapo. Uzuri wanajuaga Sina hela sasa wanaanzaje kuniomba [emoji1][emoji1][emoji1]
inaboaga sijui na wao wanaborekaga tukiwaomba 😂😂😂😂
 
wanaume ni bora mwanamke akupe pesa kwa hiari yake mwenyewe but sio anakwambia hana unamlazimisha.Akianza kukupiga matukio there will no one to blame!
 
Dunia inaenda kasi sana,ndio maana kila kijana siku hizi anakwambia mimi sioi,mwanamke anakutamkia kuwa 90 percent ya wanaume alio date nao,hamu ya kuoa hapa itatokea wapi....?
 
Dunia inaenda kasi sana,ndio maana kila kijana siku hizi anakwambia mimi sioi,mwanamke anakutamkia kuwa 90 percent ya wanaume alio date nao,hamu ya kuoa hapa itatokea wapi....?
kati ya uongo na ukweli kipi kina nafuu? km vipi na wew kajazie ifike hyo asilimia
 
Kweeema?

Sijui shida itakuwa nini Mimi siyo tajiri nina maisha yangu ya kawaida but uongo dhambi ninajipenda, nanajua kupendeza ata kama nguo ni ya bei ndogo, ninajua kupangilia, inshort ninajipenda.

Sina tabia ya kuomba pesa kwa mwanaume nae date nae, lakin asilimia 90 ya wakaka nilio date nao, na ambao ni marafiki zangu wamekuwa wakiniomba mm pesa, it's like wananichuna.

Yaan inashangaza ata nidate na mtu mwenye uwezo vipi, yeye hatanipa pesa badala yake ataniomba mimi. Narudia Tena Sina maisha ya kuji proud, kwa kuongea kwamba mm Nina kitu flani au kwetu Kuna maisha Gani, but inatokea tu ynakuta mm ndio naombwa. Hiki kitu kinanishangaza na kuniumiza Sana mpaka ninajiona Nina shida Gani?

Wajuzi naomba mnisaidie nakosea wapi nipo tayari kupokea +ve and - ve comment.
Inaelekea una confdence kimaisha.
Kitu ambacho ni kizuri.
Hao wanaume wanaokuomba hela ni matapeli ambao haipaswi kuwa entertain.
Ukiwa na confidence mtu atakuomba pesa tu uwe mwanaumw au mwanamke, lakini si lazima kumpa.
Unampa kwa utashi wako tu.
 
Kwa ground sasa [emoji16][emoji119]
Hata kwa ground ni hivi hivi. Sina hela ya kumpa mwanaume. Ila zawadi utapata vizuri kabisa maana najua nikikupa zawadi hata ya 30k nikiingiza njaa zangu huchomoi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi nataka kujua tu hiyo 90% ni kwa wanaume wangapi na hiyo 10% inasimamia wanaume wangapi ki idadi.
isije ikawa watu watatu wakasababisha utazalilishe wanaume wengi humu.
😀😀😀Relax mkuu
 
Hata kwa ground ni hivi hivi. Sina hela ya kumpa mwanaume. Ila zawadi utapata vizuri kabisa maana najua nikikupa zawadi hata ya 30k nikiingiza njaa zangu huchomoi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1][emoji1][emoji1]
Bado napinga ujue mzigua napinga kwa sababu mahusiano na yajua , Kuna ile intakes unakutana na mtu the way alivyo Yuko independent sio kitonga very gentle understanding man and Yuko so lovely, , mwepesi wa kujitoa ktk mambo yako na ana support in each and everything , so inatokea siku 1 mtu huyo kakwama then anakuchek anakuambia my queen I have a little problem and I think I need you to help me ,, anakueleza pale then anakuambia umtumie 200k , na wewe unayo na unajua kabisa amesha kusaidia ktk mambo mengi kiushari finance etc ,

Unataka kuniambia in your whole life time Haujawahi kukutana na hiyo scenario na ukatoa msaada wako !??

Aahhh hebu niache kidogo , [emoji16][emoji119] halafu watu Kama nyie ndio huwaga mnatoa kinoma yaani [emoji1][emoji1][emoji1]
 
kati ya uongo na ukweli kipi kina nafuu? km vipi na wew kajazie ifike hyo asilimia
Kama.ni watutu , asilimia 9o ni hao wawili huyo mmoja ndo asilimia kumi,😀
 
[emoji1][emoji1][emoji1]
Bado napinga ujue mzigua napinga kwa sababu mahusiano na yajua , Kuna ile intakes unakutana na mtu the way alivyo Yuko independent sio kitonga very gentle understanding man and Yuko so lovely, , mwepesi wa kujitoa ktk mambo yako na ana support in each and everything , so inatokea siku 1 mtu huyo kakwama then anakuchek anakuambia my queen I have a little problem and I think I need you to help me ,, anakueleza pale then anakuambia umtumie 200k , na wewe unayo na unajua kabisa amesha kusaidia ktk mambo mengi kiushari finance etc ,

Unataka kuniambia in your whole life time Haujawahi kukutana na hiyo scenario na ukatoa msaada wako !??

Aahhh hebu niache kidogo , [emoji16][emoji119] halafu watu Kama nyie ndio huwaga mnatoa kinoma yaani [emoji1][emoji1][emoji1]
Niliambiwaga na mmoja tu tena alitaka nimkopeshe na nikamkopesha japo tulilipana kwa mbinde sana na yeye nilimkopesha sababu alikua ananitoaga na hiyo ni miaka mitano nyuma.
Ila kama kweli bby ananitoaga akikwama akiniambia nampush. Mwanaume anaetoa ana haki ya kusaidiwa akiomba msaada. Sio hao wengine kama wa bidada. Wao tu ndo wana njaa kama wanawake.
 
Back
Top Bottom