Asilimia 90 ya Wanaume niliokuwa nao kimapenzi waliniomba hela

Asilimia 90 ya Wanaume niliokuwa nao kimapenzi waliniomba hela

napenda
Kweeema? Sijui shida itakuwa nini Mimi siyo tajiri nina maisha yangu ya kawaida but uongo dhambi ninajipenda, nanajua kupendeza ata kama nguo ni ya bei ndogo, ninajua kupangilia , inshort ninajipenda.

Sina tabia ya kuomba pesa kwa mwanaume nae date nae ,lakin asilimia 90 ya wakaka nilio date nao, na ambao ni marafiki zangu wamekuwa wakiniomba mm pesa , it's like wananichuna.

Yaan inashangaza ata nidate na mtu mwenye uwezo vipi, yeye hatanipa pesa badala yake ataniomba mm.

Narudia Tena Sina maisha ya kuji proud, kwa kuongea kwamba mm Nina kitu flani au kwetu Kuna maisha Gani, but inatokea tu ynakuta mm ndio naombwa . Hiki kitu kinanishangaza na kuniumiza Sana mpaka ninajiona Nina shida Gani?

Wajuzi naomba mnisaidie nakosea wapi nipo tayari kupokea +ve and - ve comment.
Nikupe hongera zako wanawake kama wewe ndio mnapaswa kusherehwkea siku ya wanawake duniani
 
Hao ambao sio wrong people nawapataje?
Tatizo lako una deal na wrong people au unalazimisha mapenzi unaanza kuwaonyesha watu material ya vitu au vizawadi zawadi ndio maana wanajua ww kwamba una pesa jaribu kuwa normal una deal na mtu yyote watu siku hizi wanatake advantage ndio maana wanakupiga virungu pls usilazimishe mpz kuwa na misimamo yako .
 
Mistake nliyoiona hapo ni kwamba hau_play your role kwanza kama ni mdada kw nini usiombe hela?? Wewe omba tu mpenz wako kama hana atababaisha asipokupa pia tulia usimiss behave. Pili angalia selection ya hao guys, nahisi kama sio wadogo kwako basi kuna shida hapo kati maana a real gentleman hategemei hela ya mwanamke, sana tnahtaji mchango wa mawazo, huduma za kutuliwaza na vitendo vya kutupa furaha ili tupate mori ya kusaka mkwanja.
 
Una nyota ya kudangwa.

Kwa sababu hata kama una maisha mazuri au una hela wanaume wenye hela ndio wanapendaga wanawake wa hivi, na haimaanishi atakuomba hela bali atakuwa yeye anakupa. Tena atakupa nyingi kukuonesha anaweza kukumiliki.

"Mwenye nacho ndio huwa anaongezewa" siku hizi.
Hivi kumpa mwanamke hela nyingi ndo kuonesha kuweza kummiliki?
 
Kama usemayo Ni kweli,

Basi kama taifa Kuna mahali tumefeli,
Hizi sera zetu zinazohusu vijana na mahusiano zirejerewe upya

Tunakoelekea,
Tunatengeneza taifa la vijana wa ovyo
 
Hadi humu jf nilishawah kuwa na marafiki wawili wa kawaida tu ambao hatujawah Onana but tulikuwa tunawasiliana ,but urafiki wetu pia ukavinjoka baada ya kuwa wananiomba pesa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una nyota ya utoaji.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom