Waarabu wanataka mrudishe $&& zao sasa mnahangaika hamjui la kufanya!!Rushwa na CCM ni kama samaki na maji
Inaonekana wakati Lowasa anamwaga pesa Chadema ili asafishwe na waliomchafua wewe ulikuwa bado uko kijijini kwenu hauelewi chochote kinachoendelea mjini.Rushwa na CCM ni kama samaki na maji
90% kinawashinda nini kwenda mahakamani?Habari zenu wanaJF wenzangu,
Ndugu zangu,,, hapa nchini kwetu ukiwa mtu makini, mwenyekujitambua, mwenye uwezo wa kudhibiti mihemko, mwenye mawazo na akili iliyohuru bila kukontroliwa na mtu mungine ambae ataitumia akili yako kwa faida yake na familia yake huku akikuacha wewe ukidhalilika, ukiwa mwenye kutafakari kwa kina juu ya mstakabali wa nchi na future za wananchi, hakika utaweza kuona madudu mengi yaliojificha nyuma ya migongo ya viongozi wenye njaa. Kuona huko kunaweza kufanikiwa kupitia historia zao, maneno yao, na vitendo vyao.
Fikiria kiongozi mkubwa wa chama cha siasa anafika Kariakoo, badala ya kuwaeleza watu sera za chama chake, badala ya kuwaeleza watu namna watakavyofaidika, au taifa litakavyosonga mbele kimaendeleo na huduma bora kwa wananchi kutokana na sera hizo endapo chama chake au chao kitafanikiwa kushika dola.
Yeye anakuja na upepo wa bandari kwa kuwaeleza watu maneno mawili matatu ya kuuponda mkataba wa bandari bila kuonesha sehemu anayodai kuwa haifai, baada ya hapo anaanza kuomba michango na baadae akishachangiwa chake anatokomea anapokujua yeye kununua nyama, mchele, mafuta na mahitaji mengine ya lazima huku waliomchangia wengi wao wakienda kula dagaa na ugali usiku ule.
Sasa mtu mwenye akili unajiuliza kama mtu ana njaa hadi anaamua kuwakamua wale anaodai kwamba anawasaidia, je atashindwa kupokea hongo atakayohongwa na kundi lenye lengo la kumtumia kupush ajenda zao mbele.
Kama anachukua hadi elfu ya masikini muuza pilipili wa Kariakoo atawezaje kukataa milioni 1 au 2 ya wale wapitisha madawa ya kulevya bandarini, wezi wa vifaa vya magari na mizigo mbali mbali bandarini, wakwepa kodi na ushuru wa bandarini?
Jibu utapata kwamba jamaa amehongwa ili awapambanie waliomuhonga, na hizo za Kariakoo anazitumia kununua mahitaji yake ya siku. Ndio maana tunasema hawa viongozi wanapambana kwa sababu ya njaa zao na wakishapata chao wanatokomea kula na familia zao. Mnaosubiri kupata maendeleo kupitia viongozi hawa, hamna tofauti na mtu anaesubiri nazi ianguke kutoka juu ya mkungu.
I hope ume comment kwa kusoma tu kichwa cha habari, bila kusoma habari yenyewe.90% kinawashinda nini kwenda mahakamani?
Mie na wilaya yetu ya Mkuranga wote hatumo katika hao 90%, kama ulituhesabu tuondoe.
Teena! Kuna mtu atawafuata hao?Ok ndomana wamepuuzwa na wananchi.
Huna akili pusii wewe, huu uharo ulioandika ni kwa faida ya utumbo wako mpana tuNaona bado akili yako haipo huru. I mean kuna mwanasiasa fulan anaitumia kwa masilahi yake na familia yake huku wewe mwenyewe ukiwa haujui kama akili yako inatumiwa.
Na wewe umehongwa upinge.Habari zenu wanaJF wenzangu,
Ndugu zangu,,, hapa nchini kwetu ukiwa mtu makini, mwenyekujitambua, mwenye uwezo wa kudhibiti mihemko, mwenye mawazo na akili iliyohuru bila kukontroliwa na mtu mungine ambae ataitumia akili yako kwa faida yake na familia yake huku akikuacha wewe ukidhalilika, ukiwa mwenye kutafakari kwa kina juu ya mstakabali wa nchi na future za wananchi, hakika utaweza kuona madudu mengi yaliojificha nyuma ya migongo ya viongozi wenye njaa. Kuona huko kunaweza kufanikiwa kupitia historia zao, maneno yao, na vitendo vyao.
Fikiria kiongozi mkubwa wa chama cha siasa anafika Kariakoo, badala ya kuwaeleza watu sera za chama chake, badala ya kuwaeleza watu namna watakavyofaidika, au taifa litakavyosonga mbele kimaendeleo na huduma bora kwa wananchi kutokana na sera hizo endapo chama chake au chao kitafanikiwa kushika dola.
Yeye anakuja na upepo wa bandari kwa kuwaeleza watu maneno mawili matatu ya kuuponda mkataba wa bandari bila kuonesha sehemu anayodai kuwa haifai, baada ya hapo anaanza kuomba michango na baadae akishachangiwa chake anatokomea anapokujua yeye kununua nyama, mchele, mafuta na mahitaji mengine ya lazima huku waliomchangia wengi wao wakienda kula dagaa na ugali usiku ule.
Sasa mtu mwenye akili unajiuliza kama mtu ana njaa hadi anaamua kuwakamua wale anaodai kwamba anawasaidia, je atashindwa kupokea hongo atakayohongwa na kundi lenye lengo la kumtumia kupush ajenda zao mbele.
Kama anachukua hadi elfu ya masikini muuza pilipili wa Kariakoo atawezaje kukataa milioni 1 au 2 ya wale wapitisha madawa ya kulevya bandarini, wezi wa vifaa vya magari na mizigo mbali mbali bandarini, wakwepa kodi na ushuru wa bandarini?
Jibu utapata kwamba jamaa amehongwa ili awapambanie waliomuhonga, na hizo za Kariakoo anazitumia kununua mahitaji yake ya siku. Ndio maana tunasema hawa viongozi wanapambana kwa sababu ya njaa zao na wakishapata chao wanatokomea kula na familia zao. Mnaosubiri kupata maendeleo kupitia viongozi hawa, hamna tofauti na mtu anaesubiri nazi ianguke kutoka juu ya mkungu.
Wapingaji wa maendeleo ndio mafisadi majizi.Mwizi hufikiria kila mtu ni mwizi kama yeye.Mafisadi mnamangamanga, mmezoea kuuza nchi kwa mikataba mibovu safari hii tunagawana mbao mmetuchosha, migodi, ngorongoro, kia, Richmond, bandari nk sasa basi, kama mbwai na iwe mbwai majizi wakubwa nyie.
Huu ndio ukweli,majizi na mafisadi wa bandarini,ndio wanaopinga bandari kupewa wawekezaji.Badala ya kuendelea kuota, bora ungeamka na kuanza kutafakari ni kazi au biashara gani nyingine ya halali ufanye ili ujiingizie kipato cha halali baada ya ile uliyozoea bandarini ya kuiba vifaa vya magari ya watu bandarini na kwenda kuviuza mitaani kufa.
Huu ndio ukweli.Mkuu wenzako wanaongea propaganda hizi kwa lengo la kupata michango mbali mbali huko Kariakoo, pia kupewa hela na wezi wa bandarini ili kuendelea kusomesha watoto wao walioko belgiji, Marekani na Kanada, huku wewe chawa wao ukitumika kueneza propaganda zao bila kupewa chochote.
Ni aibu na inasikitisha sana, ila ndo hivyo siku zote wajinga ndio waliwao.
Huu ndio ukweli hasaSana mkuu.. Fikiria mtu amekaa bungeni zaidi ya miaka 10, kalamba mamilioni ya mshahara wake jumlisha ruzuku ya chama. Lakini hakuwahi kuwachangia wananchi, afu leo anataka yeye achangiwe.
Huu si wizi wa kuaminiwa.
Kabadili gia,angani.Ndio maana nasema kama akili yako haipo huru itakuwa ngumu kuelewa. Huyu unaesema ameibiwa kura na kumpigwa risasi ameanza kutumia jina na sifa njema za unaesema kumpiga risasi ili aweze kufikisha ujumbe wake wa bandari na kueleweka. Kaona porojo zake za kuibiwa kura na kupigwa risasi hazina mashiko kwa watanzania.
Ni kweli kabisa.Hahahaha naona unadanganywa na mitandao ambayo unakuta mtu mmoja ana ID kumi. Kwahiyo watu kumi kila mmoja akichangia ID zake zote kumi utaona ni watu 100 ndo wamepinga kumbe wazoefu tunajua ni watu kumi tu wenye ID kumi kumi.
Awezi kukujibu kabisa.........ataleta bla bla tu. Nimekaa paleee..... 🙂Mmeshindwa kujibu maswali machache mmekalia majungu
Tunataka kujua yafuatayo
1. Muda wa mkataba ni miaka mingapi?
2. Kwanini Kuna kioengele kuwa mkataba hawezi kuvunjika hata kama nchi zitaingia kwenye mgogoro?
3. Kwanini Kuna kioengele kuwa kutakapokuwa na mgogoro basi kesi itaamukiwa Kwa sheria za uingereza?
4. Kwanini Kuna kioengele kuwa Tanzania itapoona fursa bandarini lazima kwanza kumuuliza DP World?
Mahakamani ni kesho hapa Mbeya..... Karibu mtu wa Mkuranga. 🙂90% kinawashinda nini kwenda mahakamani?
Mie na wilaya yetu ya Mkuranga wote hatumo katika hao 90%, kama ulituhesabu tuondoe.
Si unajua wajinga hawaishi duniani mkuu.Teena! Kuna mtu atawafuata hao?
Kama wanaokutumia hawakupi kitu basi pambana na hali yako, sio wao wakutumie kwa faida yao na familia zao afu hasira zako ziishie kwangu.Huna akili pusii wewe, huu uharo ulioandika ni kwa faida ya utumbo wako mpana tu
Mimi sipingi mkuu.Na wewe umehongwa upinge.