Asilimia 90 ya watanzania tumeshagundua kwamba hawa viongozi wamehongwa kwa ajili ya bandari

Asilimia 90 ya watanzania tumeshagundua kwamba hawa viongozi wamehongwa kwa ajili ya bandari

Rushwa na CCM ni kama samaki na maji
Waarabu wanataka mrudishe $&& zao sasa mnahangaika hamjui la kufanya!!
Mkimuona Samia huko msibani kwa Jecha analia msifikiri anamlilia marehemu Jecha bali anajililia mwenyewe zigo la rushwa za Bandari limemuelemea!
 
Rushwa na CCM ni kama samaki na maji
Inaonekana wakati Lowasa anamwaga pesa Chadema ili asafishwe na waliomchafua wewe ulikuwa bado uko kijijini kwenu hauelewi chochote kinachoendelea mjini.
 
Habari zenu wanaJF wenzangu,

Ndugu zangu,,, hapa nchini kwetu ukiwa mtu makini, mwenyekujitambua, mwenye uwezo wa kudhibiti mihemko, mwenye mawazo na akili iliyohuru bila kukontroliwa na mtu mungine ambae ataitumia akili yako kwa faida yake na familia yake huku akikuacha wewe ukidhalilika, ukiwa mwenye kutafakari kwa kina juu ya mstakabali wa nchi na future za wananchi, hakika utaweza kuona madudu mengi yaliojificha nyuma ya migongo ya viongozi wenye njaa. Kuona huko kunaweza kufanikiwa kupitia historia zao, maneno yao, na vitendo vyao.

Fikiria kiongozi mkubwa wa chama cha siasa anafika Kariakoo, badala ya kuwaeleza watu sera za chama chake, badala ya kuwaeleza watu namna watakavyofaidika, au taifa litakavyosonga mbele kimaendeleo na huduma bora kwa wananchi kutokana na sera hizo endapo chama chake au chao kitafanikiwa kushika dola.

Yeye anakuja na upepo wa bandari kwa kuwaeleza watu maneno mawili matatu ya kuuponda mkataba wa bandari bila kuonesha sehemu anayodai kuwa haifai, baada ya hapo anaanza kuomba michango na baadae akishachangiwa chake anatokomea anapokujua yeye kununua nyama, mchele, mafuta na mahitaji mengine ya lazima huku waliomchangia wengi wao wakienda kula dagaa na ugali usiku ule.

Sasa mtu mwenye akili unajiuliza kama mtu ana njaa hadi anaamua kuwakamua wale anaodai kwamba anawasaidia, je atashindwa kupokea hongo atakayohongwa na kundi lenye lengo la kumtumia kupush ajenda zao mbele.

Kama anachukua hadi elfu ya masikini muuza pilipili wa Kariakoo atawezaje kukataa milioni 1 au 2 ya wale wapitisha madawa ya kulevya bandarini, wezi wa vifaa vya magari na mizigo mbali mbali bandarini, wakwepa kodi na ushuru wa bandarini?

Jibu utapata kwamba jamaa amehongwa ili awapambanie waliomuhonga, na hizo za Kariakoo anazitumia kununua mahitaji yake ya siku. Ndio maana tunasema hawa viongozi wanapambana kwa sababu ya njaa zao na wakishapata chao wanatokomea kula na familia zao. Mnaosubiri kupata maendeleo kupitia viongozi hawa, hamna tofauti na mtu anaesubiri nazi ianguke kutoka juu ya mkungu.
90% kinawashinda nini kwenda mahakamani?

Mie na wilaya yetu ya Mkuranga wote hatumo katika hao 90%, kama ulituhesabu tuondoe.
 
90% kinawashinda nini kwenda mahakamani?

Mie na wilaya yetu ya Mkuranga wote hatumo katika hao 90%, kama ulituhesabu tuondoe.
I hope ume comment kwa kusoma tu kichwa cha habari, bila kusoma habari yenyewe.

Laiti ungesoma kwanza thread yenyewe, naamini usingeandika hayo ya mkuranga nk.

Nakushauri uwe na utaratibu wa kusoma thread angalau aya mbili tatu, alafu ndio u comment. Hii itakusaidia kujua maudhui ya thread husika, na pia kuendana na kile utacho comment.

Usikimbilie ku judge kitabu kwa kusoma tu kava la juu, huenda ndani yake kuna ujumbe mzuri utakaokupa faida msomaji.
 
Mm na familia yangu pamoja na ukoo wangu tuna bandari yetu. Full stop
 
Naona bado akili yako haipo huru. I mean kuna mwanasiasa fulan anaitumia kwa masilahi yake na familia yake huku wewe mwenyewe ukiwa haujui kama akili yako inatumiwa.
Huna akili pusii wewe, huu uharo ulioandika ni kwa faida ya utumbo wako mpana tu
 
Habari zenu wanaJF wenzangu,

Ndugu zangu,,, hapa nchini kwetu ukiwa mtu makini, mwenyekujitambua, mwenye uwezo wa kudhibiti mihemko, mwenye mawazo na akili iliyohuru bila kukontroliwa na mtu mungine ambae ataitumia akili yako kwa faida yake na familia yake huku akikuacha wewe ukidhalilika, ukiwa mwenye kutafakari kwa kina juu ya mstakabali wa nchi na future za wananchi, hakika utaweza kuona madudu mengi yaliojificha nyuma ya migongo ya viongozi wenye njaa. Kuona huko kunaweza kufanikiwa kupitia historia zao, maneno yao, na vitendo vyao.

Fikiria kiongozi mkubwa wa chama cha siasa anafika Kariakoo, badala ya kuwaeleza watu sera za chama chake, badala ya kuwaeleza watu namna watakavyofaidika, au taifa litakavyosonga mbele kimaendeleo na huduma bora kwa wananchi kutokana na sera hizo endapo chama chake au chao kitafanikiwa kushika dola.

Yeye anakuja na upepo wa bandari kwa kuwaeleza watu maneno mawili matatu ya kuuponda mkataba wa bandari bila kuonesha sehemu anayodai kuwa haifai, baada ya hapo anaanza kuomba michango na baadae akishachangiwa chake anatokomea anapokujua yeye kununua nyama, mchele, mafuta na mahitaji mengine ya lazima huku waliomchangia wengi wao wakienda kula dagaa na ugali usiku ule.

Sasa mtu mwenye akili unajiuliza kama mtu ana njaa hadi anaamua kuwakamua wale anaodai kwamba anawasaidia, je atashindwa kupokea hongo atakayohongwa na kundi lenye lengo la kumtumia kupush ajenda zao mbele.

Kama anachukua hadi elfu ya masikini muuza pilipili wa Kariakoo atawezaje kukataa milioni 1 au 2 ya wale wapitisha madawa ya kulevya bandarini, wezi wa vifaa vya magari na mizigo mbali mbali bandarini, wakwepa kodi na ushuru wa bandarini?

Jibu utapata kwamba jamaa amehongwa ili awapambanie waliomuhonga, na hizo za Kariakoo anazitumia kununua mahitaji yake ya siku. Ndio maana tunasema hawa viongozi wanapambana kwa sababu ya njaa zao na wakishapata chao wanatokomea kula na familia zao. Mnaosubiri kupata maendeleo kupitia viongozi hawa, hamna tofauti na mtu anaesubiri nazi ianguke kutoka juu ya mkungu.
Na wewe umehongwa upinge.
 
Mafisadi mnamangamanga, mmezoea kuuza nchi kwa mikataba mibovu safari hii tunagawana mbao mmetuchosha, migodi, ngorongoro, kia, Richmond, bandari nk sasa basi, kama mbwai na iwe mbwai majizi wakubwa nyie.
Wapingaji wa maendeleo ndio mafisadi majizi.Mwizi hufikiria kila mtu ni mwizi kama yeye.
 
Badala ya kuendelea kuota, bora ungeamka na kuanza kutafakari ni kazi au biashara gani nyingine ya halali ufanye ili ujiingizie kipato cha halali baada ya ile uliyozoea bandarini ya kuiba vifaa vya magari ya watu bandarini na kwenda kuviuza mitaani kufa.
Huu ndio ukweli,majizi na mafisadi wa bandarini,ndio wanaopinga bandari kupewa wawekezaji.
 
Mkuu wenzako wanaongea propaganda hizi kwa lengo la kupata michango mbali mbali huko Kariakoo, pia kupewa hela na wezi wa bandarini ili kuendelea kusomesha watoto wao walioko belgiji, Marekani na Kanada, huku wewe chawa wao ukitumika kueneza propaganda zao bila kupewa chochote.

Ni aibu na inasikitisha sana, ila ndo hivyo siku zote wajinga ndio waliwao.
Huu ndio ukweli.
 
Ndio maana nasema kama akili yako haipo huru itakuwa ngumu kuelewa. Huyu unaesema ameibiwa kura na kumpigwa risasi ameanza kutumia jina na sifa njema za unaesema kumpiga risasi ili aweze kufikisha ujumbe wake wa bandari na kueleweka. Kaona porojo zake za kuibiwa kura na kupigwa risasi hazina mashiko kwa watanzania.
Kabadili gia,angani.
 
Mmeshindwa kujibu maswali machache mmekalia majungu

Tunataka kujua yafuatayo
1. Muda wa mkataba ni miaka mingapi?
2. Kwanini Kuna kioengele kuwa mkataba hawezi kuvunjika hata kama nchi zitaingia kwenye mgogoro?
3. Kwanini Kuna kioengele kuwa kutakapokuwa na mgogoro basi kesi itaamukiwa Kwa sheria za uingereza?
4. Kwanini Kuna kioengele kuwa Tanzania itapoona fursa bandarini lazima kwanza kumuuliza DP World?
Awezi kukujibu kabisa.........ataleta bla bla tu. Nimekaa paleee..... 🙂
 
Huna akili pusii wewe, huu uharo ulioandika ni kwa faida ya utumbo wako mpana tu
Kama wanaokutumia hawakupi kitu basi pambana na hali yako, sio wao wakutumie kwa faida yao na familia zao afu hasira zako ziishie kwangu.

Wewe mwenyewe umewaamini na ukaamua kuwa mtumwa wao basi acha na wao wakutumie kwenye propaganda zao ili wapate pesa za kusomesha watoto wao huko ubelgiji na Marekani.

Maana wao hawapingi kwa bure, kila mtu anapokea fungu Lake kutoka kwa wezi na wakwepa kodi wa bandari.
 
Back
Top Bottom