BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Watalawa hawawaambii ukweli huu kwamba Hizi aina ya Idea/wekezaji/biashara zetu wabongo hazitupi nafasi hata kidogo ya kuja kushindana huko Duniani one day yes.
Huwezi kuja kushindana Duniani kwa;
China kwa sasa anatunishiana misuri na Marekani sio kwa sababu ya idadi ya Frame au pub au Guest house kari kule China hapana ni kwa sababu ya Techinolojia yao inayo mfanya kuazakisha bidhaa na kushindana.
India anainukia pakubwa sana ni kwa sababu ya Viwanda na sio idadi ya Car Wash zilizopo New Delh India na kwingineko India.
Taifa lolote linalo taka kuja kuikamata Dunia linawekeza sana kwenye techinolojia yao na kuwa Taofa la uzalishaji mali.
Tanzania hatuzalishi ni watumiaji wa hadi Chupi za mitumba kutoka kwa Wazungu, hizi ni akili za kiendawazimu na tunaona tuko sawa kabisa.
Hatuwezi kuwa hadi leo baada ya miaka 60 ya uhuru tunategemea nguo za mitumba kutoka Marekani na baadae tunadanganyana kwamba tunaelekea kuwa na uchumi mkubwa, upi huo?
Uwekezeaji wa Kitanzania tunashindwa kuambiana ukweli ni kwamba ni uwekezaji wa sisi kumshindana mtaani na Wabongo wenzetu na sio kuja kushindana Duniani huko.
Ukiona Yotong kari zimejaa Barabarani jua kule China Vijana wao wanapata ajira pia kwa wingi sana.lle Kariakoo inazalisha ajira nyingi sana China na sio Tanzania.
Bongo Idea zetu ni za ajabu sana Idea za jinsi ya kuagiza bidhaa China, yaani huo ndio ujanja yaani mtu akiweza kuagiza Bidhaaa China huyo ni Elon Musk wa Tanzania.m, ana akili sana ni mjanja sana.
Yaani ukiita vijana 100 wa Kitanzania asilimia 99.9 mawazo yao ni uchuuzi, mawa
zo ya kutafuta Mframe mtaaa fulani.
Watawala hawaambii ukweli kwa sabanu za kisiasa,
Ni kutamba China k
Huwezi kuja kushindana Duniani kwa;
- Kuwekeza kwenye pub kari kari
- Hoteli
- Duka la Uchuuzi
- Guest house
- Mabasi
- Car wash na kadhalika.