Asilimia kubwa ya Biashara /uwekezaji wa Watanzania/Wazawa hautupi nafasi ya kuja siku moja kushindana huko Duniani

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
4,548
Reaction score
11,901
Watalawa hawawaambii ukweli huu kwamba Hizi aina ya Idea/wekezaji/biashara zetu wabongo hazitupi nafasi hata kidogo ya kuja kushindana huko Duniani one day yes.

Huwezi kuja kushindana Duniani kwa;
  • Kuwekeza kwenye pub kari kari
  • Hoteli
  • Duka la Uchuuzi
  • Guest house
  • Mabasi
  • Car wash na kadhalika.
Dunaini ukiona mataifa yote yanayo inukia kiviwanda hasa Asaia ni viwanda na techinolojia yao ndio sababu kubwa.

China kwa sasa anatunishiana misuri na Marekani sio kwa sababu ya idadi ya Frame au pub au Guest house kari kule China hapana ni kwa sababu ya Techinolojia yao inayo mfanya kuazakisha bidhaa na kushindana.

India anainukia pakubwa sana ni kwa sababu ya Viwanda na sio idadi ya Car Wash zilizopo New Delh India na kwingineko India.

Taifa lolote linalo taka kuja kuikamata Dunia linawekeza sana kwenye techinolojia yao na kuwa Taofa la uzalishaji mali.

Tanzania hatuzalishi ni watumiaji wa hadi Chupi za mitumba kutoka kwa Wazungu, hizi ni akili za kiendawazimu na tunaona tuko sawa kabisa.

Hatuwezi kuwa hadi leo baada ya miaka 60 ya uhuru tunategemea nguo za mitumba kutoka Marekani na baadae tunadanganyana kwamba tunaelekea kuwa na uchumi mkubwa, upi huo?

Uwekezeaji wa Kitanzania tunashindwa kuambiana ukweli ni kwamba ni uwekezaji wa sisi kumshindana mtaani na Wabongo wenzetu na sio kuja kushindana Duniani huko.

Ukiona Yotong kari zimejaa Barabarani jua kule China Vijana wao wanapata ajira pia kwa wingi sana.lle Kariakoo inazalisha ajira nyingi sana China na sio Tanzania.

Bongo Idea zetu ni za ajabu sana Idea za jinsi ya kuagiza bidhaa China, yaani huo ndio ujanja yaani mtu akiweza kuagiza Bidhaaa China huyo ni Elon Musk wa Tanzania.m, ana akili sana ni mjanja sana.

Yaani ukiita vijana 100 wa Kitanzania asilimia 99.9 mawazo yao ni uchuuzi, mawa
zo ya kutafuta Mframe mtaaa fulani.

Watawala hawaambii ukweli kwa sabanu za kisiasa,

Ni kutamba China k
 
Taifa la wachuuzi , kila siku nasema ,huwezi toboa kwa akili hizi za kiduwanzi .
Viframe vya kurogana na kuigana mtaani kugombania wateja wa kununua malonya lonya na takataka za kichina ,yaani vijiwe vya uchawi na majungu .
Vimejaa huko mitaani .
Upuuzi
 
NIlishawahi waambia watu wa karibu yangu, uwekezaji mzuri ni huu na sii biashara za uchuuzi, unadhani kuna alie nielewa, ngoja nibaki na maarifa yangu.
 
Nikweli mkuu, nami nilitegemea wange ni challenge katika hilo la mtaji, ila gues what?, hakuna aliewaza hii challenge, wakanichukulia simple, nikawaza ndio uwezo wao wa ku think ulipoishia.
Changamoto huwa ni mtaji maana kiwanda si mchezo lazima ujipange
 
Nikweli mkuu, nami nilitegemea wange ni challenge katika hilo la mtaji, ila gues what?, hakuna aliewaza hii challenge, wakanichukulia simple, nikawaza ndio uwezo wao wa ku think ulipoishia.
Ila kwa upande mmoja wana point coz kuna wafanyabiashara wamefanya uchuuzi miaka na miaka mitaji imekua mpaka kufikia millions of shillings lakini bado wameng'ang'ana na uchuuzi tu hawataki kutoka nje ya box
 
Taifa la wachuuzi , kila siku nasema ,huwezi toboa kwa akili hizi za kiduwanzi .
Viframe vya kurogana na kuigana mtaani kugombania wateja wa kununua malonya lonya na takataka za kichina ,yaani vijiwe vya uchawi na majungu .
Vimejaa huko mitaani .
Upuuzi
Tanzania na frame economics, kila mtu akipata pesa anajenga frame😂.
 
Watalawa hawawaambii ukweli huu kwamba Hizi aina ya Idea/wekezaji/biashara zetu wabongo hazitupi nafasi hata kidogo ya kuja kushindana huko Duniani one day yes.

Huwezi kuja kushindana Duniani kwa;
  • Kuwekeza kwenye pub kari kari
  • Hoteli
  • Duka la Uchuuzi
  • Guest house
  • Mabasi
  • Car wash na kadhalika.
Dunaini ukiona mataifa yote yanayo inukia kiviwanda hasa Asaia ni viwanda na techinolojia yao ndio sababu kubwa.

China kwa sasa anatunishiana misuri na Marekani sio kwa sababu ya idadi ya Frame au pub au Guest house kari kule China hapana ni kwa sababu ya Techinolojia yao inayo mfanya kuazakisha bidhaa na kushindana.

India anainukia pakubwa sana ni kwa sababu ya Viwanda na sio idadi ya Car Wash zilizopo New Delh India na kwingineko India.

Taifa lolote linalo taka kuja kuikamata Dunia linawekeza sana kwenye techinolojia yao na kuwa Taofa la uzalishaji mali.

Tanzania hatuzalishi ni watumiaji wa hadi Chupi za mitumba kutoka kwa Wazungu, hizi ni akili za kiendawazimu na tunaona tuko sawa kabisa.

Hatuwezi kuwa hadi leo baada ya miaka 60 ya uhuru tunategemea nguo za mitumba kutoka Marekani na baadae tunadanganyana kwamba tunaelekea kuwa na uchumi mkubwa, upi huo?

Uwekezeaji wa Kitanzania tunashindwa kuambiana ukweli ni kwamba ni uwekezaji wa sisi kumshindana mtaani na Wabongo wenzetu na sio kuja kushindana Duniani huko.

Ukiona Yotong kari zimejaa Barabarani jua kule China Vijana wao wanapata ajira pia kwa wingi sana.lle Kariakoo inazalisha ajira nyingi sana China na sio Tanzania.

Bongo Idea zetu ni za ajabu sana Idea za jinsi ya kuagiza bidhaa China, yaani huo ndio ujanja yaani mtu akiweza kuagiza Bidhaaa China huyo ni Elon Musk wa Tanzania.m, ana akili sana ni mjanja sana.

Yaani ukiita vijana 100 wa Kitanzania asilimia 99.9 mawazo yao ni uchuuzi, mawa
zo ya kutafuta Mframe mtaaa fulani.

Watawala hawaambii ukweli kwa sabanu za kisiasa,

Ni kutamba China k
Nchi hii ni ya fremu za ccm kila Kona Tanzania nzima,sijui nani aliwapa wazo hili ccm kuamini frem ni innovation
 
Mkuu umepiga penyewe. Hata Kama huna kiwanda haikuzuii kutoa mawazo na kusema mambo ya maana Kama Haya. Mimi nina Kiwanda kidogo Ila nikwambie shughuli ya kiwanda inasogea taratibu sana kuliko uchuuzi na menejimenti ya kiwanda ni ngumu kuliko uchuuzi. Hivyo, watu wengi wanapenda hii short cut na inawapa matokeo ya muda mfupi. Ushahidi mwingine ni vile viwanda vilivyobinafsishwa na serikali, vingi viligeuzwa maghala ya wachuuzi. Ili tufanikiwe kwenye hili, serikali iliangalie vizuri Swala la uingiaji holela wa takataka na lonyalonya za kutoka uchina zinaua mpaka Viwanda vya ndani.
Wa salaam
 
Siasa ya nchi yetu ni mbovu sana sana ,haimuezeshi mzawa kuwa na uwezo mkubwa wa kufanya biashara kwa Mfano USHURU NI MKUBWA MNOOOOO ,sasa hapo ndio panakuja na hivo viwanda vidigo vidogo baada ya watu kupata fedha na Elimu .Asia watu wameendelea sana sana.
 
Swala sio ushuru swala tunafanya aina zipi za Biashara? za kushindana wenyewe ndanu ya Tanzania au za kushindana kimataifa?
 
Mkuu umepiga penyewe. Hata Kama huna kiwanda haikuzuii kutoa mawazo na kusema mambo ya maana Kama Haya. Mimi nina Kiwanda kidogo Ila nikwambie shughuli ya kiwanda inasogea taratibu sana kuliko uchuuzi na menejimenti ya kiwanda ni ngumu kuliko uchuuzi. Hivyo, watu wengi wanapenda hii short cut na inawapa matokeo ya muda mfupi. Ushahidi mwingine ni vile viwanda vilivyobinafsishwa na serikali, vingi viligeuzwa maghala ya wachuuzi. Ili tufanikiwe kwenye hili, serikali iliangalie vizuri Swala la uingiaji holela wa takataka na lonyalonya za kutoka uchina zinaua mpaka Viwanda vya ndani.
Wa salaam
Hakika
 
Back
Top Bottom