Asilimia kubwa ya mapenzi ya wadada wasaidizi wa mama ntilie siyo salama kwa afya yako

Na bado kazi yao ni dereva
Ndio
Unakuta ni dereva halafu ana mshahara wa kawaida tu ila marupurupu njiani madili kibao kuna mizigo ya magendo, kupiga nyoka, kubeba wasafiri na mizigo ya njiani nk.
 
Tutakufa tu halafu mbona siku hizi hili gonjwa limekuwa la kawaida sana. Kama ulivyosema tuendelee kuwa makini
 
Kwa ushuhuda wako huu unaanzisha story nyingine. Hapa cha kujadili ilikuwa magonjwa ya ngono kama kaswende na si ukimwi. Tukiwambia ukimwi hoax hamuelewi. Endeleeni kutishana na ba majinamizi yasiyo onekana
 
Nakumbuka mikumi njia panda ya kuelekea ifakala na border ya mutukula pale zifa olaba[emoji120] niliponea chupuchupu God is great
Ila nikifikiria najionaga mi jasusi sana sema basi Kuna siku nipo zangu night mnara ukaanza kusoma 5G Kila nikijaribu kutengeneza mazingira ya mtu aje apunguze Kasi ya mnara patupu mfukoni Nina shillingi afutatu ndipo mind yangu ikakumbuka mutukula Kuna dada poa wa kiganda na bei zao rafiki na pia wanatukubali sana wabongo wenyewe wana kamsemo kao wakijua wewe mbongo wanakuambia ulimutizedi

Sasa ishu ilikuwa nafikaje mutukula time ni saa Tano daladala mpaka mutukula ni 1000 go and return 2000 hata zingekuwepo nilikuwa Sina nauli nikakumbuka kuwa Nina kausafiri kangu mountain bike(aisee niliyekuuzia hiyo baiskeli itunze maana kwangu ilikuwa ni zaidi ya rafiki)

Nikaanza safari ya Km 25 Kwa baiskeli saa Tano za usiku means go and return 50 km nikapita bunazi, kwenye mashamba ya miwa, igayaza, kabwoba mpaka mutukula Kwa ajili ya K nikapata lidada la ug Tako zangu Tano nafsi ikalizika nikachukua bike yangu saa Tisa usiku naingia geto nalala saa kumi na mbili asubuhi naenda kupokea shift.

Live long BabaMorgan
 
Duh 50km for mbususu[emoji28]
 
Haaaaahaaaa!! Hao madada poa wana bei tuu tofauti ukitumia zana au bila zana!! Bila zana bei ni kuubwaa so utaamua mwenyewe!!
Bila zana kupima ni lazima, wengi wao hawakubali kufanya kavu bila kupima. Hawa wako makini kwa asilimia kubwa
 
Ila madereva wazinzi aka vit*mbi kinyama.
 

Kwa hio unachezea umeme?
 
We lazima una ngoma
 
Jamaa una akili sana yaani ni bora machangu condom ni lazima mzee ata na wenyewe ndo wanakomalia kuliko mademu wa mtaani , mademu wa mtaani yaani ni hatari sana kama wewe mwenyewe hautokomalia condom, sema watu hawajui tu,
Wewe ndio haujui, hao changudoa Kuna dau la kupiga kavu, jaribu wewe siku moja mwambie sivai kondom unataka ngapi?
 
Chai
 
Of course Ni gumu Sana,mm huwa natumia mbinu ya kijinga namwambia demu tukapime kabla akiwa anasitasita napiga chini ila akikubari Wala sihangaiki na condom najiaminisha Ni mzima 🤸🤸
 
Of course Ni gumu Sana,mm huwa natumia mbinu ya kijinga namwambia demu tukapime kabla akiwa anasitasita napiga chini ila akikubari Wala sihangaiki na condom najiaminisha Ni mzima [emoji1732][emoji1732]
Hiyo naitumia pia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani kuna demu ukiingiza ishu ya kupima anabadirika nankuwa mkali huyo huwa najua kabisa amewaka hata nikipiga najua kabisa naingia pabaya ila sina jinsi maana kama mbususu mpya halafu ukute ni pisi kali siachi lazima nipige hata cha fasta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…