EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
Daa aise,
Kumbe asilimia 90 ya wafanyabiashara wa Tanzania walifeli Darasa la saba.
Kumbe haya mavazi mazuri ni wao ndio wanaotuuzia alafu sisi tunapendeza.
Kumbe wao ndio wanaofuata mizigo China.
Kumbe ndio wanaolipa kodi nyingi serikalini.
Yaani kumbe yale majengo mazuri mazuri ya maduka tunayo yaona barabarani yanapendezesha miji yetu na barabara zetu ni wao wamejenga.
Kumbe wao ndio wanafanya mahali paonekane mjini na kuanza kukua kuwa mjini.
Aise kweli nimeshangaa sanaa aise.
Kumbe mjinga aliyefeli la saba anakipaji cha biashara.
Basi tuendelee kusukuma gurudumu.