Asilimia kubwa ya Wafanyabiashara na matajiri Tanzania walifeli Darasa la Saba

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2020
Posts
2,204
Reaction score
2,085
Daa aise,

Kumbe asilimia 90 ya wafanyabiashara wa Tanzania walifeli Darasa la saba.

Kumbe haya mavazi mazuri ni wao ndio wanaotuuzia alafu sisi tunapendeza.

Kumbe wao ndio wanaofuata mizigo China.

Kumbe ndio wanaolipa kodi nyingi serikalini.

Yaani kumbe yale majengo mazuri mazuri ya maduka tunayo yaona barabarani yanapendezesha miji yetu na barabara zetu ni wao wamejenga.

Kumbe wao ndio wanafanya mahali paonekane mjini na kuanza kukua kuwa mjini.

Aise kweli nimeshangaa sanaa aise.

Kumbe mjinga aliyefeli la saba anakipaji cha biashara.

Basi tuendelee kusukuma gurudumu.
 
Ninauza ndago, haiitaji kafara, million nne zinaingia kila baada ya nusu saa
 
Nakufundisha Reasoning
Previous Era (Back 20 Century)
_Tangu tupate uhuru ni sawa na kusema ndio tuna intake ya kwanza ya uzee, ikimaanisha wale walioishi kipindi hiko ndio wamezeeka sasa, hii intake ilikuwa na sifa mbili
1)wasomi wachache: almost wote walikula mashavu ya ajira na kipindi hiko hakukuwa na influence za kutajirika walitosheka
2)Waliofeli: walikuwa na chaguo la Biashara tu walifanikiwa huko.

Modern World (21' Century)
_Hiki ni kipindi linguine kabisa Intake yake ya watu wako na umri 20-40 age hiki ni kipindi Dunia imetawaliwa na Taarifa za kutajirika, misamiati kutajirika kwa siku unauwona ×10, kipindi kimejaa maarifa na taarifa.
_Sifa ya kipindi hiki wasomi ndio wana Desire kubwa sana ya kutajirika kuliko kiumbe chochote kile, wamekuwa wakibuni Biashara za kimkakati, njia za kisasa nk kufanikisha hilo.

_Sasahivi Ordinary graduate aliyeajiriwa utamsikia time ikifika nataka nikasimamie miradi YANGU tofauti na wale kipindi cha Previous Era (20 century).

_Mpaka sasa kuna kampuni nyingi sana zinazoenda kuwa kubwa ambazo Founder wake ni wasomi.

_Matokeo yake utakuja kuyaona miaka 30-40 mbele ambapo Intake hii itazeeka.

Hitimisho
mtoa mada upo sahihi endapo utafanya assessment yako kwa Previous Era ila kama utafanya Assessment Era ya sasa mambo ni tofauti kabisa.
 
You said it all
 
So deep. Outside the box courage
 
ungeweka list ya matajiri kama ushahidi matajiri wapo wa la 7 ila sio wengi kivi
 
Hao wanauwezo wa ku-take risks ikiwemo kufuata masharti ya waganga wa biashara including kafara etc mambo ambayo wasomi mnayapotezea na kubaki watazamaji tu!
 
Nakufundisha Reasoning
Previous Era (Back 20 Century)
_Tangu tupate uhuru ni sawa na kusema ndio tuna intake ya kwanza ya uzee, ikimaanisha wale walioishi kipindi hiko ndio wamezeeka sasa, hii intake ilikuwa na sifa mbili
1)wasomi wachache: almost wote walikula mashavu ya ajira na kipindi hiko hakukuwa na influence za kutajirika walitosheka
2)Waliofeli: walikuwa na chaguo la Biashara tu walifanikiwa huko.

Modern World (21' Century)
_Hiki ni kipindi linguine kabisa Intake yake ya watu wako na umri 20-40 age hiki ni kipindi Dunia imetawaliwa na Taarifa za kutajirika, misamiati kutajirika kwa siku unauwona ×10, kipindi kimejaa maarifa na taarifa.
_Sifa ya kipindi hiki wasomi ndio wana Desire kubwa sana ya kutajirika kuliko kiumbe chochote kile, wamekuwa wakibuni Biashara za kimkakati, njia za kisasa nk kufanikisha hilo.

_Sasahivi Ordinary graduate aliyeajiriwa utamsikia time ikifika nataka nikasimamie miradi YANGU tofauti na wale kipindi cha Previous Era (20 century).

_Mpaka sasa kuna kampuni nyingi sana zinazoenda kuwa kubwa ambazo Founder wake ni wasomi.

_Matokeo yake utakuja kuyaona miaka 30-40 mbele ambapo Intake hii itazeeka.

Hitimisho
mtoa mada upo sahihi endapo utafanya assessment yako kwa Previous Era ila kama utafanya Assessment Era ya sasa mambo ni tofauti kabisa.
Mzee umefunga uzi.
 
Watafutika tu siku za usoni ao, na wenyewe wanalijua ilo ndo maana wanaajiri wasomi na wanasomesha watoto wao nje ya nchi wakapate elimu, tena sio elimu tu bali elimu bora.
Akutakua na tajiri mbumbu siku zijazo.
cc:Kibajaji a.k.a Govinda.
 
Wanatumia ndagu....yaani mali inakuwa si yako, wewe unakuwa ni wakala tu though watu wote wanajua wewe ndiyo mwenyewe.

Na namna ya kuitumia mali hiyo unapewa masharti.

Na ukishakufa na mali inapotea!!
 
Acha mawazo hayo utakufa fukara!
 
Daa aise,
Kumbe asilimia 90 ya wafanya biashara Tanzania walifeli Darasa la saba.
Kumbe haya mavazi mazuri ni wao ndio wanaotuuzia alafu sisi tunapendeza.
Kumbe wao ndio wanaofuata mizigo China.
Kumbe ndio wanaolipa kodi nyingi serikalini.
Yaani kumbe yale majengo mazuri mazuri ya maduka tunayo yaona barabarani yanapendezesha miji yetu na barabara zetu ni wao wamejenga.
Kumbe wao ndio wanafanya mahali paonekane mjini na kuanza kukua kuwa mjini.
Aise kweli nimeshangaa sanaa aise.
Kumbe mjinga aliyefeli la saba anakipaji cha biashara.
Basi tuendelee kusukuma gurudumu.

View attachment 1709532

View attachment 1709533
Ungefeli la saba ungeijua hiyo integration😆
 
Nakwambia ukweli...na kama hutaki kuamini basi ni wewe!! Ila wengi wa la saba wanacheza mchezo huu!!
Apana mkuu waganga wangekuwa mabilionea hakuna iyo kitu tabia zako ndio kipato chako!
 
Back
Top Bottom