Sodoku
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,271
- 2,903
Kwa kweli nimefarijika sana. Mbowe anapendwa sana. Anapendwa hadi na wana CCM. Akina Mshamba na tilalila wanampigia upatu Mbowe abaki Mwenyekiti. Hawamtaki Lissu.
Hii inaonesha udugu ambao umeanza wa CCM na CDM kwa namna ambayo ni nzuri kabisa. Yaani ukute siku Simba wanataka Kocha wa Yanga asiondolewe abaki. Unagundua mpira wetu umekua sana.
Kwa sasa Lissu anapigwa vita sana na CCM hawataki awe Mwenyekiti wa CDM. WANASEMA MWAMBA ANATOSHA. MIAKA KADHAA ILIYOPITA WALIKUWA WANASEMA AONDOKE AMEKAA MUDA MREFU SANA. CDM wakasema haondoki. Lakini naona maridhiano kwa sasa yamefana.
Wanasema wamegundua anafaa so aendelee kuwa Mwenyekiti wa CDM. lakini wanapingana na kundi la wana CDM ambao wanataka mabadiliko wanasema Mwamba sasa mwachie Mwamba mwingine naye atuongoze. Hapo kameibuka kakundi ka wenye njaa Yericko Nyerere huyu sasa anakuja na sera ya Mwamba abaki maana anafaidika na mabaki mabaki yanayobaki mezani au chakula kinachodondoka miguuni pa Mbowe.
Huyu Yericko alikuwa akipinga Magufuli kutaka badilisha katiba aongeze muda wa kutawala. Ila leo anataka mtu aliyeongoza miaka 20 aendelee. Sababu? Ana pesa. So wao wataokota okota pesa toka kwake.
Chadema inapoteza uaminifu. Kama Lissu aliteuliwa agombee Urais 2020 na sasa wanasema hafai kumbe walikuwa wanaingiza watanzania chaka.so hata sasa wanaposema Mbowe anafaa tusiwaamini. Sababu ni uongo ule ule kama wa mwaka 2020.
Mbowe amejenga urafiki mkubwa na wa kupendeza na wana CCM ni jambo zuri sana. Na wanampenda. Wanatamani aendelee kuongoza CDM. Hawataki msikia Lissu sababu Lissu atakiua Chama cha CDM. Wanaonesha namna gani wana upendo na CDM.
Akina Yericko vijana wadogo wameshindwa kuthibiti njaa na uchawa wanashinda kila siku kumponda Lissu wa chama chao hicho hicho sababu kwake hawapati kitu. Angalau Mbowe anawafanya mkono uende kinywani. Ukimwona Mbwa juu ya Mti Ujue kapandishwa.