Asilimia kubwa ya WanaCCM wanataka Mbowe abaki Mwenyekiti CHADEMA. Hawamtaki Lissu

Wanamjua atawasumbua. Wanatakiwa nao wabuni mbinu mpya za kukabiliana naye. Walishagundua mbinu za Mbowe ndo maana wanamtaka.
Wanajifanya wajanja hawa akina Mwashambwa, wanajidai kumtaka Mbowe ili CDM wamkatae Mbowe.

Hiyo maana yake ni kutaka Mbowe akose kura na kujificha wasijulikane wako na Lisu.
 
Lissu ni Mwiba kwa CCM!
Kimsingi siyo kwamba wanampenda Mbowe! Tangu zamani hawakumpenda isipokuwa mrithi wa Kiti ni Mbaya wao zaidi.
Kama angerithi mwingine asiye Lissu!
Mfano angegombea Kigaila,Mnyika,nk
wasingepika kelele kutamani Mbowe aendelee!
Lissu hawezi kuwa Mwiba kwa CCM hata kidogo.Mbona aligombea Urais na akaambulia aibu ya Mwaka?
 
Kwani si anachaguliwaga na wana CHADEMA wenyewe? Sasa anang'ang'ania vipi ikiwa anachaguliwa na wana CHADEMA?
Kwani na wewe ni mwana Chadema? Wana Chadema ndo wanahitaji mabadiliko ya kiuongozi lakini wewe unawaponda kuwa " watu wenye akili timamu" hawawezi kumchagua TAL. Wewe ndo standard International unit ( SI unit) ya kutambua watu wenye utimamu wa akili??
 
Kwani wewe ukiwa na akili Timamu unaweza kushindwa kumtambua mtu mwenye utimamu wa akili na yule ambaye siyo.
 
Tilatila ndio yupi huyu😀😀😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…