Asilimia kubwa ya WanaCCM wanataka Mbowe abaki Mwenyekiti CHADEMA. Hawamtaki Lissu

Ni sisi CHADEMA asilia ndio tunataka Mbowe abaki, na CCM wanafikiri Mbowe akibaki ndio mambo yao yatabaki kuwa sawa lakini ukweli ni kwamba Lissu ataiharibu CDM mara moja.
 
Ukombombozi waja

Ilianza TLS wakamfanyia figisu mwambukusi hatimaye akachukua kwa kishindo

Sasa ni zamu ya TAL naye anaenda kuchukua

Combination ya BKM na TAL
Hapo kauli mbinu ya no reform no election itaeleweka
 
Ni sisi CHADEMA asilia ndio tunataka Mbowe abaki, na CCM wanafikiri Mbowe akibaki ndio mambo yao yatabaki kuwa sawa lakini ukweli ni kwamba Lissu ataiharibu CDM mara moja.
Dogo Mbona mbowe ameisha paharibu haribu cdm tayari
 
Hawamtaki lissu kwa sababu ni mwiba kwao ni kichwa ngumu mwenye misimamo isiyotetereka. Wanajua vema watapelekwa mchakachaka
 
Lissu ni Mwiba kwa CCM!
Kimsingi siyo kwamba wanampenda Mbowe! Tangu zamani hawakumpenda isipokuwa mrithi wa Kiti ni Mbaya wao zaidi.
Kama angerithi mwingine asiye Lissu!
Mfano angegombea Kigaila,Mnyika,nk
wasingepika kelele kutamani Mbowe aendelee!
Haahaa mpaka watu wanaomba msaada tiss, lissu balaa
 
Ni sisi CHADEMA asilia ndio tunataka Mbowe abaki, na CCM wanafikiri Mbowe akibaki ndio mambo yao yatabaki kuwa sawa lakini ukweli ni kwamba Lissu ataiharibu CDM mara moja.
Haahaa mbowe kashaiharibu, akibaki atakamilisha tu plan
 
Bora umenisaidia mkuu.
 
Itakuwa usaliti mkubwa dhidi ya wanachadema na wafuasi wao iwapo wajumbe wataamua kumchagua mgombea ambaye anaungwa mkono waziwazi na wapinzani wao kisiasa.Wajumbe sikilizeni na heshimuni matakwa ya wanaokitakia mema chama mkimtanguliza Mungu mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…