Asilimia kubwa ya wanaume wanaojielewa wapo PM

Ulale unono chombo cha Smart911
 
Ndio kwanza nahangaika na kamtaji kangu ka kuuza soksi mkuu!!..Ngoja kafaida karudi rudi kidogo!.
tulia hvyo hivyo ..usije kuikimbia das"lam mkuu kwaajili ya madeni
 
Ingia PM wewe!!..angetangaza ofa ya safari Uvinza ungemzidi josee kuwahi nafasi ujue!!..
hahaa wataka ...anifilisi then uje Jf kunifungulia TRD mnicheke "" aiseee hanipati mtu
 
nime reply
 
Wa pm mnaitwa naona kawasubri hamtokei kaamua kuwafuata
 
Yeeeeeesssssssssuuu mi chokambaya tu

Aseeehhh naogopa sana id mpya mtu anakuchora tu afu anakucheka kwa dharaaaaaaauuuuuuuuuu lol!!! Ndomana nikasema kuwa makini sana


Cc Smart911
Huyu nokia anatamani kuwa mimi bad enough sina tym naye kwa leo nimshambuliwa na more than 5account zote zimefunguliwa leo so nshawajuaa hawanipi pressure we just imagine mtu kafungua account leo bt anakujuaa ww
 
Hao wanataka nyapu lako tu utamsifiaje mtu mzuri kaumbika na blah blah kama hujamuona muonekano wake labda wanadata na maandishi tu Ila all in all nyapu ndio muhimu Sana kuliko huo muonekano wako
 
Hao wanataka nyapu lako tu utamsifiaje mtu mzuri kaumbika na blah blah kama hujamuona muonekano wake labda wanadata na maandishi tu Ila all in all nyapu ndio muhimu Sana kuliko huo muonekano wako
Hivi mimi naweza kukusifiaa bilaa kuonana na ww??ni maongezi tu ya kawaida na sio kutakana sina muda wakutafuta bwana jf
 
OTIENO acha zako bhana..wameshakushtukia hao.

Njoo na mbinu mpya ERICK OTIENO[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa id yako mpyaa hunipati this tym around
 
Hivi mimi naweza kukusifiaa bilaa kuonana na ww??ni maongezi tu ya kawaida na sio kutakana sina muda wakutafuta bwana jf
Mwanzo wa Ngoma ni lele watapita njia ndefu mwisho wa yote ni hapo panapotenganisha kiwiliwili na miguu tu (nyapu) basi
 
Naona huko afrika kusini alipo kafilisika sasa anatafuta nauli
Ndugu yangu huyu nokia asikudanganye kwanza kafunguaa account mpya leo kwa ajili ya kazi ya kunipaka matope na kashasababisha nikala ban ndp sababu simjibu yeye ndo anajibu watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…