Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Ni huzuni kwa kweli
Kibali kutoka kwa Bwana kiko na njia nyingi za kunifikia, siyo lazima kipitie ndoa, kwa sasa nimeridhika kwanza kuwa single 😊Kama unaweza kuikimbia zinaa you are safe.
But apatae mke apata kitu chema nae apata kibali kwa Bwana. We hutaki kupata kibali toka kwa Bwana? 😀
BTW, maamuzi ya kutooa ni mazuri ikiwa umejipima na ukaona huwezi/hutovumilia. Your life your choices!
Uko sahihi mkuu wangu.Kibali kutoka kwa Bwana kiko na njia nyingi za kunifikia, siyo lazima kipitie ndoa, kwa sasa nimeridhika kwanza kuwa single 😊
Bwana gani huyo anae toa vibali tena kwa vidume wenzie😂😅Kama unaweza kuikimbia zinaa you are safe.
But apatae mke apata kitu chema nae apata kibali kwa Bwana. We hutaki kupata kibali toka kwa Bwana? 😀
BTW, maamuzi ya kutooa ni mazuri ikiwa umejipima na ukaona huwezi/hutovumilia. Your life your choices!
Asilimia kubwa ya wanawake hutoka kwenye umaskini kupitia ndoa, na asilimia kubwa ya wanaume huingia kwenye umaskini kupitia ndoa.
80% of the time, women escape poverty through marriage AND 80% of the time, men enter poverty through marriage.
Nikuache na kibao cha KING KIKI -Baba Paroko.
View: https://youtu.be/5NQPzMtvnNM?si=i9aBT6VD08Bz4azS
I'm out.
Bwana MunguBwana gani huyo anae toa vibali tena kwa vidume wenzie😂😅