Asilimia kubwa ya wanawake hutoka kwenye umasikini kupitia ndoa, na asilimia kubwa ya wanaume huingia kwenye umasikini kupitia ndoa

Asilimia kubwa ya wanawake hutoka kwenye umasikini kupitia ndoa, na asilimia kubwa ya wanaume huingia kwenye umasikini kupitia ndoa

Infropreneur

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2022
Posts
14,578
Reaction score
31,662
Asilimia kubwa ya wanawake hutoka kwenye umaskini kupitia ndoa, na asilimia kubwa ya wanaume huingia kwenye umaskini kupitia ndoa.

80% of the time, women escape poverty through marriage AND 80% of the time, men enter poverty through marriage.

Nikuache na kibao cha KING KIKI -Baba Paroko.

View: https://youtu.be/5NQPzMtvnNM?si=i9aBT6VD08Bz4azS

I'm out.
 
Asilimia 80 ya wanawake hutoka kwenye umaskini kupitia ndoa, na asilimia 80 ya wanaume huingia kwenye umaskini kupitia ndoa.

80% of the time, women escape poverty through marriage AND 80% of the time, men enter poverty through marriage.

Nikuache na kibao cha KING KIKI -Baba Paroko.

View: https://youtu.be/5NQPzMtvnNM?si=i9aBT6VD08Bz4azS

I'm out.

Halafu huyu mwanamke kapuku ambaye amekukuta na chochote kitu anaanza kukusumbua ikiwemo kukunyima tendo la kudinyana kiasi cha kuchanganyikiwa na kwenda kumshatakia kwa baba paroko 🤔.

Mbaga Jr tuzidi kuikumbatia nyeto.
 
Sasa hivi kuna elimu inaitwa Hakimiology kutoka kwa mchezaji wa Morocco Achraf Hakim. Inabidi kila mwanaume ajifunze elimu hii.
 
Kuna msemo wa wanaume kwa sasa tunaongeza kulia kuliko wanawake, nilikua naukataa ila taratibu naanza kuelewa.

Ingawa majukwaa ya kufikisha ujumbe na hisia kwa wanaume yamekuwa mengi na rahisi ila kuna namna tuna feli aisee!

Dunia inamtegemea mwanaume ili iendelee kusimama imara ila mwanaume ana shuka taratibu katika kuitengeneza dunia, hatujui watoto wetu itakuwaje kwao kama baba zao tupo hivi , achilia mbali wajukuu zetu .
 
Back
Top Bottom