cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Duh
Mmmh
Mmmh
Shusha mkuu kuna namna naona kama siku hizi unaogopa 🤣Nikishusha ballistic missile moja tu uelekeo utabadilika. Attention itaamia kwangu badala ya mtoa mada. Acha niwaache wapambane. Mimi nafatilia mjadala kwa ukaribu nitaingilia kati nikiona inahitajika kufanya hivyo.
Huu ni mtegoTutafanya ka girl kwanza tu , mimi watoto wote kwangu ni watoto tu🤣🤣🤣
Hizi sheria zote kwa asilimia kubwa zilitungwa na wanaume wenzenu.Ukitaka kujua hili bila jazba, mfikie kwenye taraka/kutarikiana ndio utajua ninachozumgumzia hapa. Hivi hivi huwezi jua, utaniona mjinga tuu. Siku ukipokea samansi toka mahakamani kuna shauri la taraka na unatakiwa ufike kwa pilato na utakuta wameshaorodhesha mali zenu "marital properties" , ndio siku utakuja kufahamu ninachosema hapa. Itapigwa pasu mpaka boksa.
😂😂SiwateteiHata wewe??🥺
😂😂SiwateteiHata wewe??🥺
Hizi sheria zote kwa asilimia kubwa zilitungwa na wanaume wenzenu.
Kama ni kweli mnaonewa, mlishawahi kujiuliza kwanini waliamua kuwadidimiza hivi hasa kwenye hatua za kutalikiana?
🎶hili limeliza sanaa😪😂😂Siwatetei
Hebu imagine wakimfavour mwanaume itakavyokuwa 🤔Hata mimi sijui aisee! Mwanamke hata akikupeleka ustawi wa jamii lazima ujue watam favour tuu.. 😊
Only if ukifuata mfumo wa Mkuu wa DUNIA(Shetani)Ndoa ni taasisi ya kumuinua mwanamke na kunkandamiza mwanaume
Asilimia 80 ya wanawake hutoka kwenye umaskini kupitia ndoa, na asilimia 80 ya wanaume huingia kwenye umaskini kupitia ndoa.
80% of the time, women escape poverty through marriage AND 80% of the time, men enter poverty through marriage.
Nikuache na kibao cha KING KIKI -Baba Paroko.
View: https://youtu.be/5NQPzMtvnNM?si=i9aBT6VD08Bz4azS
I'm out.
Wanaume wasioe period!!Nini kifanyike mkuu?
Si kwl kwan mnazingua🎶hili limeliza sanaa😪
Tunazinguaje ba mtuSi kwl kwan mnazingua
Mna ua wanaume mapemaTunazinguaje ba mtu
Nakazia 📌, au ikiwapendeza wasituoe wanawake wajitafutie mbadala!Wanaume wasioe period!!
Kwanini?Mna ua wanaume mapema
Mbadala ni wao kwa wao! Stress za kazi gani?Nakazia 📌, au ikiwapendeza wasituoe wanawake wajitafutie mbadala!
Nitoeni mimi asee🤔Mbadala ni wao kwa wao! Stress za kazi gani?