Asilimia kubwa ya wanawake hutoka kwenye umasikini kupitia ndoa, na asilimia kubwa ya wanaume huingia kwenye umasikini kupitia ndoa

Asilimia kubwa ya wanawake hutoka kwenye umasikini kupitia ndoa, na asilimia kubwa ya wanaume huingia kwenye umasikini kupitia ndoa

Ni kweli, wanaume mara nyingi hubeba majukumu mengi ya kifedha baada ya ndoa, wakati wanawake almost wote hupata utulivu wa maisha kupitia ndoa.
 
Kuna msemo wa wanaume kwa sasa tunaongeza kulia kuliko wanawake, nilikua naukataa ila taratibu naanza kuelewa.

Ingawa majukwaa ya kufikisha ujumbe na hisia kwa wanaume yamekuwa mengi na rahisi ila kuna namna tuna feli aisee!

Dunia inamtegemea mwanaume ili iendelee kusimama imara ila mwanaume ana shuka taratibu katika kuitengeneza dunia, hatujui watoto wetu itakuwaje kwao kama baba zao tupo hivi , achilia mbali wajukuu zetu .
Mfumo ndio unamwondoa mwanaume kwenye nafasi yake. Ukitaka kumpotosha, kumzulumu, kumbaka, kumwibia, kumlaghai au kumfanyia mwanamke kitwndo chochote cha uovu mbinu rahisi zaidi ni kuakikisha unamwondoa mwanaume kwenye maisha yake au unamwaminisha kwamba mwanaume ndie adui yake halafu muuzie idea ya kuwa huru kufanya chochote anachotaka huku ukimwaminisha huo ni uhuru na haki yake. Feminists kwa kujua au kutojua wanaitumia sana hii mbinu.
 
Ndoa ni ridhiki kwa mwanamke.

Ndoa ina faida kwa mwanamke.

Ndoa ni mchongo kwa mwanamke mdio maana anafanyiwa sherehe "Send off" na mwanaume hafanyiwi lolote.

Ndoa ni namna ya kumpa mali na heshima mwanamke bila kutoa jasho lolote upande wake.
Kwenye ndoa, cha mwanamke ni chake, cha mwanaume ni cha wote.

Ndoa inamfanya mwanamke apate mali kwa kuhama umiliki.

Kiufupi ndoa inamnufaisha zaidi mwanamke kuliko kinyume chake.

Ukitaka kujua hili bila jazba, mfikie kwenye taraka/kutarikiana ndio utajua ninachozumgumzia hapa. Hivi hivi huwezi jua, utaniona mjinga tuu. Siku ukipokea samansi toka mahakamani kuna shauri la taraka na unatakiwa ufike kwa pilato na utakuta wameshaorodhesha mali zenu "marital properties" , ndio siku utakuja kufahamu ninachosema hapa. Itapigwa pasu mpaka boksa.
 

Attachments

  • Screenshot_20260306_162810_Facebook.jpg
    Screenshot_20260306_162810_Facebook.jpg
    90 KB · Views: 15
Asilimia 80 ya wanawake hutoka kwenye umaskini kupitia ndoa, na asilimia 80 ya wanaume huingia kwenye umaskini kupitia ndoa.

80% of the time, women escape poverty through marriage AND 80% of the time, men enter poverty through marriage.

Nikuache na kibao cha KING KIKI -Baba Paroko.


View: https://youtu.be/5NQPzMtvnNM?si=i9aBT6VD08Bz4azS


I'm out.

Kiongozi, hizi takwimu umezipata wapi 🙂?

Nakubaliana na wewe kwamba ndoa zinawainua wanawake wengi kiuchumi, kwa sababu ni nadra sana mwanamke kuolewa na mwanaume ambaye hajamzidi kipato (hypogamy).

Pia patriachy ambayo imeunganishwa kwenye mifumo ya kisheria (mfano sheria ya ndoa ya Tanzania) inampa mwanaume jukumu la kuhudumia familia na mzigo mkubwa zaidi kuliko mwanamke.

Japo tukisogea pembeni ya mada kidogo na kuacha kuisolate uchumi peke yake, kiujumla mwanaume ananufaika zaidi na ndoa kuliko mwanamke.

Asante kwa kunitag mkuu 🫶
 
Kiongozi, hizi takwimu umepata wapi?

Nakubaliana na wewe kwamba ndoa zinawainua wanawake wengi kiuchumi, kwa sababu ni nadra sana mwanamke kuolewa na mwanaume ambaye amemzidi kipato.

Pia patriachy ambayo imeunganishwa kwenye mifumo ya kisheria (mfano sheria ya ndoa ya Tanzania) unampa mwanaume jukumu la kuhudumia familia na mzigo mkubwa zaidi kuliko mwanamke.

Japo tukisogea pembeni ya mada kidogo na kuacha kuisolate uchumi peke yake, kiujumla mwanaume ananufaika zaidi na ndoa kuliko mwanamke.


Asante kwa kunitag mkuu 🫶
Safi
 
Vere suni naingia hapo kwenye 80 percent na wala sio dhambi, kwani yule malkia Esta ilikuwaje? Kina Sara je,,,, wakati mi nakimbia kwenye yai nitungwe mimba nikawa wa kike nyie mlikimbilia kuwa wa kiume kila mtu ana favor yake pambaneni aisee,, na naongea hivi km mama boys
Nakuunga mkono kama baba girls
 
Natafuta Ajira usitupe taulo mapema hivi bwashee, madini yako ni muhimu sana
Nikishusha ballistic missile moja tu uelekeo utabadilika. Attention itaamia kwangu badala ya mtoa mada. Acha niwaache wapambane. Mimi nafatilia mjadala kwa ukaribu nitaingilia kati nikiona inahitajika kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom