luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Kwa utafiti tu kutazama ktk pirika pirika na mihangaiko ya hapa na pale hapa jijini Dar es Salaam. Katika maeneo tofauti tofauti kwenye mkusanyiko mfano katika vituo vya mwendokasi, ferry Kigamboni, nimegundua wanawake wa siku hizi wengi sanaaa wana hips za kuvutia, rangi za ngozi wengi ni weupe, na wengi Wana ma wowoo makubwa sanaa.
Nimegundua upungufu wa wanawake wembamba kwa kiasi kikubwa sanaa, kiasi ukimuona basi lzm kama ni mwanaume mtoa macho utashangaa ni wapi huyu katokea?
Haya mabadiliko ya kimaumbile na muonekano kwa hawa wanawake wa Dar es Salaam unachangiwa na mabadiliko ya kiafya au kiuchumi?
Note: Uzi huu haupo katika mtazamo wa kiuzinzi wala matamanio ya kutazama wanawake na kuwataman bali mtafiti alijikita kutazama predefined indicators 3
Makalio makubwa
Wengi Wana hips
Wengi ni weupe