luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
- Thread starter
- #21
Mkuu huu UZI ukiweka picha ni hatari coz utaweka picha bila ridhaa ya mtu akikushitaki ?Weka picha uzi usiwe chai rangi
January tu imeisha juzi nilitaka kulipa school fee za katoto kangu
Ila kama ww ni mtembez hapa Dsm na mini mengine hakika utatoa shuhuda tu
Halo ya sasa ni balaaa wadada Wana hips za kutishaaa