Asilimia kubwa ya wanawake siku hizi wana hips na wowowo za kutisha, inasababishwa na nini?

Ss kumbe upo nao karibu kikazi halafu unakuja huku kutuuliza kwanin usimuulize huyo unaefanya nae kazi chanzo cha makalio yake nin nin
Yule nilisha muulizia akadai ni natural ...God's gift
 
Wadada wa Tanzania sio watu wa mazoezi.. na mazoezi zamani yalikuwepo zaidi ya kutembea, kubeba mizigo nk siku hizi kuna bodaboda. Magari kibao.. wala mazoezi hawafanyi..
Surgeries waDada Tz wengi hawana hela hiyo.
Tunakubaliana kwanza kuna mazoezi ya kutengeneza shape?..
Unadhani hakuna sample ya population wanaofanya hivyo?..


Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utafiti wako uko saawa. Na zinaanza ktk umri wa chini kabisa. Au ni human revolution?
Na hisi hivyo ,Ni kutokana na mchanganyiko wa kukutana kimwili baina ya makabila na makabila , zamani watu walikuwa hawa changamani Sana Kama ilivyo hivi sasa
 
Hizo incidence ninekutana nazo Sana , Wahuni huwa Wana wapigia milunzi mpaka unasikia aibu
 
Hizo incidence ninekutana nazo Sana , Wahuni huwa Wana wapigia milunzi mpaka unasikia aibu
Ww kupigiwa miluzi, mm ilikuwa ni face to face, kilaukiwaelezea manoda kuhusu huduma zetu, wahindi wanataka wamsikie yule dada tu
 
Aisee kuna ukweli

Dar wanawake wana shape za kustaajabisha sana[emoji849][emoji15]

Yaani kila ukikatisha mtaani lazima ugeuke nyuma
[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
 
Sio kweli wengine wanapenda vimodo tena kikiwa black asalalee,
shida ni kwamba huwa hawajiamini, siku zote wanajua wanachitiwa we ukibanwa na kazi ukachelewa kurudi ye kesho anaenda kuiktmbesha kiukwelii
 
Ukitaka kuenjoi kuona mataaakro..nenda k.kooo..makumbusho..mwenge na posta.

Hi dunia ina sempo bhna..hatari tupu.

#MaendeleoHayanaChama
Swala sio kuenjoy kutazama, issue ni ongezeko lao limechangiwa na nn
 
Swala sio kuenjoy kutazama, issue ni ongezeko lao limechangiwa na nn
Kwanza Dsm kuna muingiliano wa kila jamii..pili vyakula vya mafuta..wanga na bia..vinafanya wanenepe na wanawili..tatu vigodoro..nne madawa ya kuogeza shepu..tano mavazi ya kubana mwili.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wanaongeza....hadi bikra wanazirudisha hata kidole hakipiti. Juzi kuna dem kanipa mkanda mzima wa hii kitu ya mahips na makato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…