Asilimia kubwa ya wanawake wa mijini wanajiuza ila wanabagua dau na mazingira ya kujiuzia

Tuwe wakweli kabisa hasa madada zetu najua wengi hamuwezi kwenda kujipanga pale jolly, au corner bar au mwanamboka, najua wengi wenu hamuwazi kukubaliana elfu 5 kwa fupi time.

Ila wengi ukimwambia kuna milioni moja hapa, kwa DK 20 hata mke wa waziri atakubali tu, humpeleki kwa babu kwenye mabox unampeleka hotel nzuri free Wi-Fi, kiyoyozi, analetwa na taxi, anakula supu ya kongoro, akimaliza unampa 1000,000 hakuna wa kukataa usawa huu.

Akikataa mwambie naweka mezani 5 milion, kinga muhimu inatumika, hatajua mtu yeyote then mnaenda Serena mbona hata mke wa kagame unaenda naye.

Tuwe wawazi kila mwanamke ispokuwa 1% ya wanawake ambapo kuna mama zetu, lakini walio chini ya miaka 40 wanajiuza.

Hii inatokana na ugumu wa maisha, tamaa, na kutoridhika, kama hamuamini fanya research, usiende kichwa kichwa kuwa nataka kukununua hapana, tumia busara maana hata ukienda dukani kununua sukari hulazimishi kusema hebu leta sukari unasema naomba uniuzie.

Kumbukeni kutumia mifuko ya kandoro ambayo haina maji

Hivi kijana unajitambua kweli? Yaani umpe mwanamke milioni 1 kwa ajili ya papuchi, hiyo papuchi ina dhahabu au? Kumuhonga mwanamke hela kwa kutaka penzi ni ujinga, kumbuka hakuna mwanamke asiyetaka kutom.bwa hapa duniani labda awe mgonjwa tu. Wanaume wa Dar mnatudhalilisha sana wenzenu tunaojitambua, hivi kwa nini mlizaliwa lakini?
 
Umeenda mbali sana Dada, kamwe mwanadamu hatalinganishwa na kitu chochote duniani, that is just a gift and not a price of good.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mtoa mada yeye hakwenda mbali kusema wadada tunajiuza? kutoa hiyo umeita gift kwa mwanamke asie mkeo ndo kujiuza? wasiotaka kununua kwa hizo bei huwa wananunua mmoja kwa mara moja wanaweka ndani.
 
Oooooh!! Mama zako umewatoa kwakuwa wamefikisha 40!!!kwahiyo kabla ya kufikisha huo umri it means nae alikuwa anajiuza!!!
 
Tuwe wakweli kabisa hasa madada zetu najua wengi hamuwezi kwenda kujipanga pale jolly, au corner bar au mwanamboka, najua wengi wenu hamuwazi kukubaliana elfu 5 kwa fupi time.

Ila wengi ukimwambia kuna milioni moja hapa, kwa DK 20 hata mke wa waziri atakubali tu, humpeleki kwa babu kwenye mabox unampeleka hotel nzuri free Wi-Fi, kiyoyozi, analetwa na taxi, anakula supu ya kongoro, akimaliza unampa 1000,000 hakuna wa kukataa usawa huu.

Akikataa mwambie naweka mezani 5 milion, kinga muhimu inatumika, hatajua mtu yeyote then mnaenda Serena mbona hata mke wa kagame unaenda naye.

Tuwe wawazi kila mwanamke ispokuwa 1% ya wanawake ambapo kuna mama zetu, lakini walio chini ya miaka 40 wanajiuza.

Hii inatokana na ugumu wa maisha, tamaa, na kutoridhika, kama hamuamini fanya research, usiende kichwa kichwa kuwa nataka kukununua hapana, tumia busara maana hata ukienda dukani kununua sukari hulazimishi kusema hebu leta sukari unasema naomba uniuzie.

Kumbukeni kutumia mifuko ya kandoro ambayo haina maji
99%?!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo mke wa president anagongwa kwa 1 million?! Acheni upuuzi.
Huu uliofanya hapa ndio unaitwa upuuzi. Kwanini uanze kutaja watu kwa majina au nyadhifa zao? Kama wewe sio Great Thinker JF haikufai. Hatutajani majina na nyadhifa zetu ovyo ovyo kama huko Facebook, Instagram, na mtaani kwenu. Kwani huyo mke wa huyo uliemtaja yupo chini ya miaka 40? Au hukumsoma vizuri mleta mada pale alipotaja umri ambao ndio rahisi kuingia mtegoni? Au haukuona hiyo 1% ambao hawauzi kwa kishawishi cha pesa? Kasema kabisa hiyo 1% ndio mama zetu wapo humo kama huyo mama wa watu uliemtaja ambae kavuka huo umri na ana watoto wakubwa tu. Soma vizuri bandiko kabla hujaanza kukosoa kwa lugha kali.
 
Yaani ninunue mbunye kwa M 1!? Kwanza hakuna demu wala mwanamke mwenye mbunye yenye gharama hiyo. Btw hiyo mbunye ya hata laki inakua na nini ndani? ua ina tv?
kumpa mwanamke M1 hata M10 kupo ila ni kwakua una msaidia shida zake ila haimaanishi umenunua mbunye.
 
Huu uliofanya hapa ndio unaitwa upuuzi. Kwanini uanze kutaja watu kwa majina au nyadhifa zao? Kama wewe sio Great Thinker JF haikufai. Hatutajani majina na nyadhifa zetu ovyo ovyo kama huko Facebook, Instagram, na mtaani kwenu. Kwani huyo mke wa huyo uliemtaja yupo chini ya miaka 40? Au hukumsoma vizuri mleta mada pale alipotaja umri ambao ndio rahisi kuingia mtegoni? Au haukuona hiyo 1% ambao hawauzi kwa kishawishi cha pesa? Kasema kabisa hiyo 1% ndio mama zetu wapo humo kama huyo mama wa watu uliemtaja ambae kavuka huo umri na ana watoto wakubwa tu. Soma vizuri bandiko kabla hujaanza kukosoa kwa lugha kali.
Soma paragraph ya mwisho sababu alizotoa; hali ngumu ya maisha, tamaa na kutoridhika. Kundi lipi la wanawake linanusurika na tuhuma hapa? Kwa hizi tuhuma zake hiyo exception ya under 40 haina mashiko.

Otherwise, wekeni huo utafiti.
 
Unasema Mil.5 na kinga juu!!!
Hata laki kavu kavu nakupa nini 5M
Napaka asali, UKIMWI nitausikia kwenye bomba.

Kiukweli mie mbele ya pesa, nakuwa zaidi ya Malaya.
Sema tu sijipangi Jolly au Corner.
Ila ukiingia kwenye 18 zangu SIKUACHI, maadam sijazaliwa na wewe tumbo moja.
Nataka nije PM mama....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom