Asilimia kubwa ya wanawake wa mijini wanajiuza ila wanabagua dau na mazingira ya kujiuzia

Asilimia kubwa ya wanawake wa mijini wanajiuza ila wanabagua dau na mazingira ya kujiuzia

Unasema Mil.5 na kinga juu!!!
Hata laki kavu kavu nakupa nini 5M
Napaka asali, UKIMWI nitausikia kwenye bomba.

Kiukweli mie mbele ya pesa, nakuwa zaidi ya Malaya.
Sema tu sijipangi Jolly au Corner.
Ila ukiingia kwenye 18 zangu SIKUACHI, maadam sijazaliwa na wewe tumbo moja.
So sad and pathetic!!!
 
Una uhakika hakumla?
Mkuu labda kwa ambao bado hawajaolewa,ndio kwa hiyo asilimia.

Mimi kuna Dada mmoja namjua,alikua anatongozwa na bosi wake anakataa,aliongezewa mpaka pesa kwenye mkopo wa gari lakini wapi.
Shoga zake walikula pesa za uyo bosi,lakini mwisho wa siku uyo Dada aliacha kazi, uku akiwa kala vitu kibao tu vya bosi wake.
 
[emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
 
[emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Unakimbilia wapi utajikwaaa
 
Tuwe wakweli kabisa hasa madada zetu najua wengi hamuwezi kwenda kujipanga pale jolly, au corner bar au mwanamboka, najua wengi wenu hamuwazi kukubaliana elfu 5 kwa fupi time.

Ila wengi ukimwambia kuna milioni moja hapa, kwa DK 20 hata mke wa waziri atakubali tu, humpeleki kwa babu kwenye mabox unampeleka hotel nzuri free Wi-Fi, kiyoyozi, analetwa na taxi, anakula supu ya kongoro, akimaliza unampa 1000,000 hakuna wa kukataa usawa huu.


Akikataa mwambie naweka mezani 5 milion, kinga muhimu inatumika, hatajua mtu yeyote then mnaenda Serena mbona hata mke wa kagame unaenda naye.

Tuwe wawazi kila mwanamke ispokuwa 1% ya wanawake ambapo kuna mama zetu, lakini walio chini ya miaka 40 wanajiuza.

Hii inatokana na ugumu wa maisha, tamaa, na kutoridhika, kama hamuamini fanya research, usiende kichwa kichwa kuwa nataka kukununua hapana, tumia busara maana hata ukienda dukani kununua sukari hulazimishi kusema hebu leta sukari unasema naomba uniuzie.

Kumbukeni kutumia mifuko ya kandoro ambayo haina maji
Kuna bibie mmoja wa 'kitengo kile cha takuruka' yuko 'tanzania' niliomba mzigo, condition zake ikawa ni kumlipia fare go & return kuja huku 'ziwani', accomodatio, food & drinks juu yangu. Na namlipa 100k per night..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenyewe wanasema hakuna cha bure...

Hata takataka zako mwenyewe unazilipia kwenda kutupwa.,..

But usiwasimange sana wanawake... Pesa kila mtu anaitafuta na kuipenda...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom