BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Bongo sidhani kama kuna msanii au wanasanii wanao weza kusimama na Wananchi, hawa ni ndio watu wanaingoza kwa uchawa nchi hii na still bado huwa tuna wapapatikia mbaya mno.kiwango cha uchawa wa wasanii hata raia wakawaida hawakifikii.
Mimi nisha acha kushabikia aina yoyote ya msanii Chawa hapa Tanzania, hii nilianza nayo enzi za Jiwe ambako ndio uchwa ulianziaga.Siwezu shabikia wajinga mimi.
Wakenya wasanii wengi naona wako na Raia kwenye mitaa wakiandamana wanafahamu wateja wao ni raia na sio Serikali. Tanzania wasanii huwa wako kwa ajili yakuwafurahisha watawala ni full kujikomba kwa watala.
Angalia msanii kama Harmonise Daily ni nyimbo za kusifu na kuabudu na still kuna wajinga Taifa hili bado wanampapatikia na mumuona wa maana sana.
Na sisi wajinga ndio tunawaoa nguvu sana hawa wasanii Chawa.