Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Watz sio wajinga ila hilo lipo kimkakati zaidi ili ccm iendelee kutawala.Utasikia wanasifia fisadi aliyeiba mali za umma kuwa mjanja na ametoboa.
Wanadanganywa na maigizo ya wanasiasa ambayo hayawezi kuwasaidia .Eti Makonda nyota imewaka.
Watoto wao wanavuta bangi na kuwa mashoga kisa tu kuiga maisha ya Usa.
Pumbavu kabisa.
Kabisa mtu yeyote anayemkubali Sabaya na Makonda ni zuzu.Utasikia wanasifia fisadi aliyeiba mali za umma kuwa mjanja na ametoboa.
Wanadanganywa na maigizo ya wanasiasa ambayo hayawezi kuwasaidia .Eti Makonda nyota imewaka.
Watoto wao wanavuta bangi na kuwa mashoga kisa tu kuiga maisha ya Usa.
Pumbavu kabisa.
HakikaWatz sio wajinga ila hilo lipo kimkakati zaidi ili ccm iendelee kutawala.
Unamlipaje mbunge 16M kwa mwezi halafu mwalimu 400K kwa mwezi halafu watz wapo kimya tuu. Wamevikwa uzezeta na ccm.
Ubovu wa elimu wanayopewa watz ndio chanzo cha matatizo yote.
Na Sasa ana kazigani?Hapo sio watz ni wapumbavu Bali mtazamo wako kuhusu makonda!!
Huyo makonda asilimia kubwa ya tuhuma mnazompa ni sehem ya kazi aliyoelekezwa afanye awamu ile Kuna makosa binafsi madogo kuliko makubwa mnayodhani!
Kuutumikia mfumo sio mapenzi ya mtu ni matakwa ya mfumo!!
Jpm alikuja kuyafilisi majizi na mafisadi ndicho alichofanya na watendaji wake na walipokua wanayatetea majizi walikipata,huo ndio ulikua mpangokazi wa awamu yake!!sio utashi wa mtu!aliwekwa pale kwa kazi hiyo ambayo wewe unamtuhum!
Tii sheria bila shuruti hutokutwa na mabaya!
Over
Hiyo unayoiona ndio hio hio!Na Sasa ana kazigani?
Makonda si mmoja wa hayo majizi na mafisadi?!Jpm alikuja kuyafilisi majizi na mafisadi ndicho alichofanya na watendaji wake na walipokua wanayatetea majizi walikipata,huo ndio ulikua mpangokazi wa awamu yake!!
Makonda si mmoja wa hayo majizi na mafisadi?!
Pia ni mzalilishaji mkubwaMakonda si mmoja wa hayo majizi na mafisadi?!
Chukua maua yako mkuu.Hapo sio watz ni wapumbavu Bali mtazamo wako kuhusu makonda!!
Huyo makonda asilimia kubwa ya tuhuma mnazompa ni sehem ya kazi aliyoelekezwa afanye awamu ile Kuna makosa binafsi madogo kuliko makubwa mnayodhani!
Kuutumikia mfumo sio mapenzi ya mtu ni matakwa ya mfumo!!
Jpm alikuja kuyafilisi majizi na mafisadi ndicho alichofanya na watendaji wake na walipokua wanayatetea majizi walikipata,huo ndio ulikua mpangokazi wa awamu yake!!sio utashi wa mtu!aliwekwa pale kwa kazi hiyo ambayo wewe unamtuhum!
Tii sheria bila shuruti hutokutwa na mabaya!
Over
Sijui kama ni upumbavu ila ndio Hali ilivyo.Utasikia wanasifia fisadi aliyeiba mali za umma kuwa mjanja na ametoboa.
Wanadanganywa na maigizo ya wanasiasa ambayo hayawezi kuwasaidia .Eti Makonda nyota imewaka.
Watoto wao wanavuta bangi na madawa ya kulevya na kuwa mashoga kisa tu kuiga maisha ya Usa.
Pumbavu kabisa.
Mwizi anaonekana shujaa [emoji1]Sijui kama ni upumbavu ila ndio Hali ilivyo.
Nchi hii mwizi ndio mjanja na kiukweli utachekwa sana kama ulikuwa muadilifu na huko Ofisini utatengwa au kuwekewa mizengwe.
Ndio maana pamoja na wizi watu hawawezi kuandamana wanakwambia tuu kwamba kwani ingekuwa wewe ungeziacha? Acha wivu [emoji23][emoji1787]
Na wewe upo kwenye hizo 98 au kwenye 2 zilizobaki??Utasikia wanasifia fisadi aliyeiba mali za umma kuwa mjanja na ametoboa.
Wanadanganywa na maigizo ya wanasiasa ambayo hayawezi kuwasaidia .Eti Makonda nyota imewaka.
Watoto wao wanavuta bangi na madawa ya kulevya na kuwa mashoga kisa tu kuiga maisha ya Usa.
Pumbavu kabisa.
Umechanganyikiwa sasa unatukana hovyo kada mwandamizi wa Lumumba!Utasikia wanasifia fisadi aliyeiba mali za umma kuwa mjanja na ametoboa.
Wanadanganywa na maigizo ya wanasiasa ambayo hayawezi kuwasaidia .Eti Makonda nyota imewaka.
Watoto wao wanavuta bangi na madawa ya kulevya na kuwa mashoga kisa tu kuiga maisha ya Usa.
Pumbavu kabisa.