Hapo sio watz ni wapumbavu Bali mtazamo wako kuhusu makonda!!
Huyo makonda asilimia kubwa ya tuhuma mnazompa ni sehem ya kazi aliyoelekezwa afanye awamu ile Kuna makosa binafsi madogo kuliko makubwa mnayodhani!
Kuutumikia mfumo sio mapenzi ya mtu ni matakwa ya mfumo!!
Jpm alikuja kuyafilisi majizi na mafisadi ndicho alichofanya na watendaji wake na walipokua wanayatetea majizi walikipata,huo ndio ulikua mpangokazi wa awamu yake!!sio utashi wa mtu!aliwekwa pale kwa kazi hiyo ambayo wewe unamtuhum!
Tii sheria bila shuruti hutokutwa na mabaya!
Over