Asilimia kubwa ya Watanzania ni wapumbavu

Nadhani ulimaanisha Wanaccm
 
Tena Kiwango cha KIMATAIFA gredi wani...
Ukiwa mtumishi wa umma una majumba, bar , guest house jamii wanakuita mtafutaji na una akili.
Ukiwa mtumishi wa umma na umepanga jamii inakuona mjinga.

Yet wakienda ofisi za umma kupata huduma wanataka wapate huduma bora bila rushwa huku mafisadi ndani ya serikalini huko mitaani kwao huwasifia.

Haijulikani Watanzania wanataka nini
 
Hapo sijakuelewa, yaan inamaanisha mshahara wa mwezi mmoja wa mbunge ni sawa na mshahara wa mwalimu wa miaka mitatu na bado mbunge anabaki na chenji🤔🤔🤔🤣🤣🤣? Du kweli mama anaupiga mwingi
 
Nice👏
 
We ndo umelijua leo?
 
Utawasikia mara makonda tunamwomba aoneshe vyeti vyake huwa najiuliza vyeti vyake vinawasaidia nini nyie wajinga, mara azory mara sijui taka taka gani wanasahau watoto wao walivyo mashoga, wavuta bangi, vichaa na umaskini uliotukuka.
 
A Amani yetu imejengwa katika misingi ya Ujinga na upumbafu,
 
Huyo makonda namsubiri huku R chuga alete swagiziii za kimbanga mtamsikia nimemkata mitaa yakutosha.
 

Wapigaji nawaunga mkono, serikali imelala kiboya hivi, Bunge la kiboya hivi Kwa nini usiwaunge mkono hawa wajanja wanaojiongeza
 
Ni kweli cag report martrilion yanaotea alafu eti ccm wanashinda uchavuzi, manango Kila Mali etib anaupiga mwingi, Hadi mpirani
Watz wapumbavu tu,
 
Hapa kwenu bongo mtu akiwa mfanya kazi muadilifu asiyependa rushwa na mambo yake anayafanya kwa kuafuata protocals kwenye sekta yoyote Ile iwe binafsi au ya serikali, aisee atadharauliwa sana na watu kwanzia kwa wafanya kazi wenzie mpaka jamii kwa ujumla, ataitwa mshamba na hajui kuishi mjini...!! Na Tena muda mwingine inaweza ikamgharimu hata maisha yake, maana ataonekana ni kichomi kwenye mipango ya watu.
 
mwerevu hakai pembeni na akawa analaulaumu, ananung'ung'unika na kubwekabweka tu pembeni....

anabuni na kumobilise mbinu na mikakati kabambe ya muda mrefu na mfupi na kujaribu kuchukua kila hatua muhimu inayowezekana kukabiliana na anachoamini si sawa na si haki...

kumbeza na pengine kumzomea mwizi asie faa kwako, kwa kuwashawishi na kuwavutia wenginine wafikiri kama wewe tena kwa mihemko, mibezo na dhihaka eti wapumbavu, halafu waungane nawe, ni ngumu sana.

Ni kumwita mwingine mpumbavu japo inawezekana, ni ishara na dalili ya wazi na muafaka sana ya kukata tamaa, kukosa na kupoteza uelekeo kabisa.....
 
100% sahihi.

Naishi maeneo ya CCM strong hold.

Yaani vijana wa hapa wako bize na Ngono, mpira wa simba na yanga, propaganda za ccm.

Kuna umaskini wa kutupwa. Huku wakiimba Nchi inapanda uchumi wa Kati na kumsifia Makonda na et al
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…