Asilimia kubwa ya Watanzania ni wapumbavu

Km ni hivyo kwanini usichukue hela na kura usimpigie? Kwani kwenye kupiga kura wanakuwa wamekusimamia pembeni kuhakikisha unawapigia kura?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Utawasikia mara makonda tunamwomba aoneshe vyeti vyake huwa najiuliza vyeti vyake vinawasaidia nini nyie wajinga, mara azory mara sijui taka taka gani wanasahau watoto wao walivyo mashoga, wavuta bangi, vichaa na umaskini uliotukuka.
Basi na wewe tukupe kazi bot bila kuomba vyeti vyako au unasemaje?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Unamlipaje mbunge 16M kwa mwezi halafu mwalimu 400K kwa mwezi halafu watz wapo kimya tuu. Wamevikwa uzezeta na ccm.
That's a fact

Mkurugenzi wa ATC akutwa na hatia ya wizi wa bilioni 17. Hukumu jela miaka 4 au faini milioni 12.

Na watu tuko kimya. Majaji mazezeta na raia mazezeta na wawakilishi wetu mazezeta.
 
Upo sahihi kabisa tena nahisi ni zaidi ya upumbavu japo umeweka hoja nyepesi lakini haiondoi maana halisi
 
200% correct!
 
We jamaa ni mgumu kuelewa! Anachoeleza mleta mada ni loopholes zilizopo kwenye mfumo wa elimu zinazomfanya mwanafunzi awe incompetent kwenye kujiajiri au kuajiriwa kwa kifupi elimu haimpi mwanga wa kujiongeza na hata akijiongeza anafanya mambo yake shaghala baghala ilimradi siku ziende

Km ukipata fursa kwenda nairobi tembelea ma shoe shine wao uone jinsi walivyo very smart na proffessional wanaendesha biashara zao kisasa na kisomi tofauti na huku kwetu

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Muuza Kangala , please usitukane bure watu kuwa asilimia 98% ni wapumbavu!. The margin is too big!. Watanzania wengi ni wajinga tuu na sio wapumbavu!, ila wapumbavu wapo ila sio asilimia 98%.
P
Mkuu isikuume ,unaonekana from your writing upo learned ila ukweli halisia ndo huo , wapumbavu ni wengi tena sana nchini .
Na kwa region tunajiskia sana kuwa wengine ni wajinga ila upuuzi ulio nchini acha tu .
Uliona wapi shoga akiwa role model wa vijana . Mfisadi akiwa na hela za wizi tunamsifu
 


Uwajibikaji binafsi unauweka upande upi?


Kwamba elimu ya Kenya inazalisha shoeshiners smart & professional? Huu mfano umemaanisha ama unatania?

Kila binaadam anawajibika kuwajibika kwenye nafasi yake yeye mwenyewe binafsi.

Wazazi, walezi, ndugu, Jamaa na Marafiki na jamii kwa ujumla kila mmoja asimamie misingi ya utu na uhalisia wa matokeo ya maamuzi yetu ya aina yoyote kuhusiana na chochote.

Watoto na vijana wetu mitaani wanajilea.

Sisi wote wanawake kwa wanaume tumejikita katika utafutaji.

Starehe zetu na matendo yetu yamekua Sawa na matangazo ya hadhara Kisa utandawazi. Watoto wanaona wanajifunza na kufuata mkondo.

Wazazi wamewekeza hali na mali katika muonekano wa kidunia. Wazazi hawataki kugharamika kwa hali na Mali kwenye elimu na makuzi ya watoto wao.

Wazazi wengi hawafuatilii mienendo ya watoto wao na wengine hata hawajui shule wanazosoma watoto?

Na walimu wengi wa siku hizi nao wala hawawajibiki kufuatilia wala kutoa taarifa kuhusu mienendo ya wanafunzi.

Hakuna ushirikiano wa dhati kati ya walimu na wazazi kwa maeneo mengi bado.


Watoto walelewe na nani atakayewafunza njia zetu na asili yetu?

Jamii inaruhusu matendo ya hovyo kwa wao kushiriki na pia wengine kufumbia macho halafu matokeo lawama wanatupiwa Serikali/CCM?

Kwani hao CCM ni majini? Si ni watu tunaoishi nao huku mitaani? Nao si sehemu ya ndugu na Jamaa zetu? Tena wengine wameamua kuwa Machawa wao sasa kwanini tusiwe na jamii ya hovyo?

Waalimu wengi sana ni wanachama wa hiyo CCM. Waalimu wengi sana wako kwenye “Mfumo” wamefanya nini zaidi ya kujaza mifuko yao?

Uwajibikaji ni kipimo cha Utu.
 
Acheni wivu

Nyota ni nyota kama hamna muisake kwa kuomba..
 
Mil 16 ! Kumbe kazi ya ubunge inalipa vizuri kuliko kazi nyingine ndiyo maana wabobezi wengi wa elimu , wafanyabishara wameacha kazi zao na kugombea ubunge .
 
We naona unaruka ruka tu wakati ishu hapa ni mfumo wa elimu

Tusibishane sana hebu mchukuemtoto wa miaka 12 anaesoma shule ya international school na mtoto wa umri huo huo anaesoma shule za kayumba halafu pima uelewa wao na level ya kujitambua kama ipo sawa!

Ukipata elimu bora hata kutawala mazingira yako inakuwa rahisi ndyo maana wakenya wapo aggressive kwenye kudai haki zao wakati huku tunafundishwa kila kitu ni ndio tu hata kama mambo yanaharibika.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…