Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana,mfano kwenye real estate, kwenye biashara za kupanda miti. NkHiyo timing iwe na haki na wala usiweke dhulma ndani yake. Kama kukwepa kodi, kuminya ujira wa vibarua, kuminywa bei wakati wa kununua, na kuuza zaidi ya mara 3 ya garama ya mzigo.
Washirikina ndio Wana maisha magumu hatari,check uswahiliniWasioamini hiki ulichokisema wengi wao wana maisha magumu kinoma
Source:Trust me broSource
KweliiiAfanyacho mganga ni sawa na afanyacho motivation speaker to kuamsha tu akili yako iliyolala ifikirie vile utakavyo.
Inasikitisha, sielewi kwa nini biashara isiende bila uchawi!Kwenye siasa, uchawi 100%
Biashara uchawi upo kwa 75% waliobaki hawajielewi wamuamini Mungu au waingie kwa sangoma[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]
Kwenye Ajira uchawi unatumika kupandisha vyeo, kulinda vyeo na kurudisha kazini wadau waliotimuliwa.
Mahakamani huko 90% na zaidi kuna mauza uza kibao ya ushirikina. na umeua wengi sana kwenye kesi kama za Mirathi
Kwenye mapenzi huko 90% ya kina mama wanatulisha vitu vizito sana ili tuwapende na kuwasikiliza..
90% ya kesi za mirathi humalizwa na ushirikina. Jikute wewe ndio unapinga wadau wasiuze mali utajikuta jalalani unaokota kopo
Narudi
Ni imani tu, mganga afanyacho ni kukuongezea imani tuInasikitisha, sielewi kwa nini biashara isiende bila uchawi!
Kwenye kiwanda cha mziki na bongo movie ndo hatari, inasemekana asilimia 99 walozi.. inasikitisha na kukatisha tamaa
[/QUOTE
Kazi ya shetani itakosa vipi ulozi