Asilimia kubwa ya Watanzania wanatumia nguvu za giza katika Biashara, Ajira na Harakati za Maisha Kiujumla

Asilimia kubwa ya Watanzania wanatumia nguvu za giza katika Biashara, Ajira na Harakati za Maisha Kiujumla

Kama uchawi unafanya Kazi mbona watu wana Maisha Magumu Tena wa huko kijijini uchawi alipozaliwa!
 
Kama uchawi unafanya Kazi mbona watu wana Maisha Magumu Tena wa huko kijijini uchawi alipozaliwa!
Utajiri wenyewe ni wa kumiliki gari nyumba na kununua kilo ya nyama sasa huko kwenye forbes list sijui kwanini hatuwaoni. Uchawi wao utakua dhaifu sana.
 
Unaenda kwa mganga anakueleza uhakikishe ukifunga duka tu uwahi nyumbani na uhakikishe hauna wanawake wa ziada, anakueleza uwe unakua wa kwanza kufungua duka kabla hajaamka yeyote, anakueleza hakikisha unaletewa chakula dukani na hakikisha haununui nguo nyingi sana, pia jitahidi kuomba Mungu ili dawa ifanye kazi, na ujitahidi kujishusha na kumsikiliza kila mteja, na ujitahidi mteja hakosi bidhaa kwako ili dawa iwe nzuri anakupa na majivu amechanganya na udongo wa mfinyanzi anakueleza hiyo dawa utakua unaoga kila alfajiri ukiwa unaenda dukani hapo kacheza na saikolojia yako ni mwaka mmoja mtaji umekua vizuri maana umejua kujicintrol lakini utaamini mganga
 
Kanuni nyingine ya wakinga na waha maduka yao kukua unakuta mganga anakueleza usiwe na tamaa wala usidhulumu mtu hivo jitahidi uuze kitu bei ndogo kuliko wenzako kwanza hapo utapata wateja wengi na utakua na mzunguko mzuri tu wa biashara yako hivo utapata faida kubwa na endelevu hapo mganga hana nafasi
 
Mafanikio ya ushirikina hayana amani, shetani hana fadhila wala huruma na mwanadamu.
 
Unaenda kwa mganga anakueleza uhakikishe ukifunga duka tu uwahi nyumbani na uhakikishe hauna wanawake wa ziada, anakueleza uwe unakua wa kwanza kufungua duka kabla hajaamka yeyote, anakueleza hakikisha unaletewa chakula dukani na hakikisha haununui nguo nyingi sana, pia jitahidi kuomba Mungu ili dawa ifanye kazi, na ujitahidi kujishusha na kumsikiliza kila mteja, na ujitahidi mteja hakosi bidhaa kwako ili dawa iwe nzuri anakupa na majivu amechanganya na udongo wa mfinyanzi anakueleza hiyo dawa utakua unaoga kila alfajiri ukiwa unaenda dukani hapo kacheza na saikolojia yako ni mwaka mmoja mtaji umekua vizuri maana umejua kujicintrol lakini utaamini mganga
Ebu Agiza supu ya kangaroo na bia ya uvuguvugu hapo maana umepita mulemule
 
Mungu ni mwenye nguvu sana, jitahidi uwe mbunifu na ujue kanuni za mafanikio huo ushirikina unafany ukose amani na unaleta laana biashara za washirikina hazikai vizazi hadi vizazi coz ni temporary comfort na ukirithi utajiri wa kishirikina basi huwez kuutunza, niamini Mungu ni mkuu na ndio anatoa utajiri wa kudumu na amani. kwenye Forbes na matajiri wakubwa duniani km elon musk, bill gate etc mbona sioni km ni washirikina zaidi wabunifu ndio umewainua
 
Kikubwa fanya tafiti ya kipi unataka kufanya eneo husika, kwa mfano wewe eneo limeshajengeka unaenda kuweka hardware? Wakati hapo kuna wakazi unatakiwa uweke duka la vyakula, haya wewe unaishi makazi ambayo wengi ni watu wazima unafungua duka la nguo za watoto wadogo na wachanga kosa hilo duka utafute mitaa ya hospitali wanakokuja watoto wengi, haya umezungukwa na vyuo na mashule mengi kosa uweke stationary au mgahawa na uwe msafi na huduma bora wewe hapo unafungua madawa ya kilimo na mifugo lazima utafunga tu biashara, tafiti na kuhakikisha unakua mbunifu kwenye kazi yako kila siku lakini pia uaminifu iwe nguzo yako ikiambatana na huduma bora na sio mazoea
 
Ebu Agiza supu ya kangaroo na bia ya uvuguvugu hapo maana umepita mulemule

Hua najiuliza mbona wanaoroga wote hakuna aliewahi kua tajiri namba moja duniani unakuta ni kupoteza tu muda sawa na madreva mabasi wanavovaa mibangili ya shaba wakiamini inazuia ajali tena wanauziwa na waganga kumbe uendeshaji wake mbovu ndio chanzo cha ajali
 
Uchawi ila waganga hawapatikani na wakipatikana wanakuibia nasaba yako
 
Kwenye siasa, uchawi 100%

Biashara uchawi upo kwa 75% waliobaki hawajielewi wamuamini Mungu au waingie kwa sangoma[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]

Kwenye Ajira uchawi unatumika kupandisha vyeo, kulinda vyeo na kurudisha kazini wadau waliotimuliwa.

Mahakamani huko 90% na zaidi kuna mauza uza kibao ya ushirikina na umeua wengi sana kwenye kesi kama za Mirathi.

Kwenye mapenzi huko 90% ya kina mama wanatulisha vitu vizito sana ili tuwapende na kuwasikiliza..

90% ya kesi za mirathi humalizwa na ushirikina. Jikute wewe ndio unapinga wadau wasiuze mali utajikuta jalalani unaokota kopo.

Narudi
Mahakamani huko 90% na zaidi kuna mauza uza kibao ya ushirikina na umeua wengi sana kwenye kesi kama za Mirathi.

Thread 'Mahakama za Bongo: uchawi umetamalaki' Mahakama za Bongo: uchawi umetamalaki
 
Nakumbuka nilipataga msala mmoja job nikasimamishwa kazi,na kipindi hichohicho jamaa yangu wa tawi jingine nae akasimamishwa,basi jamaa daily ananipigia simu twende kwa sangoma nikampotezeaga. Baadae mi kazi ikaisha (msala wangu ulikua mkubwa) afu yeye akarudishwa basi akawa ananinanga daily kuwa kwanini niligoma kwenda kwa sangoma ndo maana nimepoteza kazi. Hadi leo ye yupo na hiyo taasisi mi nikakaa mtaani kama 3 yrs full kupigika. Saizi yeye ndo ananitamani maana life nalopewa kwenye kazi mpya hata CEO wao hapewi
 
Kama uchawi unafanya Kazi mbona watu wana Maisha Magumu Tena wa huko kijijini uchawi alipozaliwa!
We muhaya unaijua Shuntama?

Kama wewe sio muhaya Original huwezi elewa kitu..
 
Back
Top Bottom