DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Kama uchawi unafanya Kazi mbona watu wana Maisha Magumu Tena wa huko kijijini uchawi alipozaliwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utajiri wenyewe ni wa kumiliki gari nyumba na kununua kilo ya nyama sasa huko kwenye forbes list sijui kwanini hatuwaoni. Uchawi wao utakua dhaifu sana.Kama uchawi unafanya Kazi mbona watu wana Maisha Magumu Tena wa huko kijijini uchawi alipozaliwa!
Inafikirisha Sana , Mtu unaroga ili upate Ajira ya take home salary 600k per month !?Utajiri wenyewe ni wa kumiliki gari nyumba na kununua kilo ya nyama sasa huko kwenye forbes list sijui kwanini hatuwaoni. Uchawi wao utakua dhaifu sana.
Ebu Agiza supu ya kangaroo na bia ya uvuguvugu hapo maana umepita mulemuleUnaenda kwa mganga anakueleza uhakikishe ukifunga duka tu uwahi nyumbani na uhakikishe hauna wanawake wa ziada, anakueleza uwe unakua wa kwanza kufungua duka kabla hajaamka yeyote, anakueleza hakikisha unaletewa chakula dukani na hakikisha haununui nguo nyingi sana, pia jitahidi kuomba Mungu ili dawa ifanye kazi, na ujitahidi kujishusha na kumsikiliza kila mteja, na ujitahidi mteja hakosi bidhaa kwako ili dawa iwe nzuri anakupa na majivu amechanganya na udongo wa mfinyanzi anakueleza hiyo dawa utakua unaoga kila alfajiri ukiwa unaenda dukani hapo kacheza na saikolojia yako ni mwaka mmoja mtaji umekua vizuri maana umejua kujicintrol lakini utaamini mganga
Au kumsababishia mfanyakazi mwenzake ajali au kufukuzwa kazi.Inafikirisha Sana , Mtu unaroga ili upate Ajira ya take home salary 600k per month !?
Ebu Agiza supu ya kangaroo na bia ya uvuguvugu hapo maana umepita mulemule
Ukikuta mtu anakuambia Uchawi haupo kuna mawili, yeye ndio mchawi au hajawahi kurogwa. sikuamini siku nilipo kujua kuwa ndugu yangu wa damu ni mwanga.Hao wanaouliza ushahidi
Una uhakika
Ndio wachawi wakubwa
Ukikuta mtu anakuambia Uchawi haupo kuna mawili, yeye ndio mchawi au hajawahi kurogwa. sikuamini siku nilipo kujua kuwa ndugu yangu wa damu ni mwanga.
Mahakamani huko 90% na zaidi kuna mauza uza kibao ya ushirikina na umeua wengi sana kwenye kesi kama za Mirathi.Kwenye siasa, uchawi 100%
Biashara uchawi upo kwa 75% waliobaki hawajielewi wamuamini Mungu au waingie kwa sangoma[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]
Kwenye Ajira uchawi unatumika kupandisha vyeo, kulinda vyeo na kurudisha kazini wadau waliotimuliwa.
Mahakamani huko 90% na zaidi kuna mauza uza kibao ya ushirikina na umeua wengi sana kwenye kesi kama za Mirathi.
Kwenye mapenzi huko 90% ya kina mama wanatulisha vitu vizito sana ili tuwapende na kuwasikiliza..
90% ya kesi za mirathi humalizwa na ushirikina. Jikute wewe ndio unapinga wadau wasiuze mali utajikuta jalalani unaokota kopo.
Narudi
We muhaya unaijua Shuntama?Kama uchawi unafanya Kazi mbona watu wana Maisha Magumu Tena wa huko kijijini uchawi alipozaliwa!
Acha kuamini Mambo ya Ndumba Maisha Ni Focus na kuzikataa illusionWe muhaya unaijua Shuntama?
Kama wewe sio muhaya Original huwezi elewa kitu..