Sawa leta andiko linaloonyesha Yesu aliingia kwenye nyumba ya ibada inayoitwa kanisa
Yesu akuingia kwenye nyumba ya ibada inayoitwa kanisa maana hakuna nyumba ya ibada yenye kuitwa kanisa bali Yesu aliingia kanisani na yeye aliwaamrisha wanafunzi wake kuwa na makanisa ni pale alipo waambia wanafunzi wake 👉 msiache kukutanika .....sasa nitakuambia kanisa ni nini ? Na lilikuwa na kazi gani ...kwanini watu wanaingia na viatu na kuketi vitini kanisani ....
Fafanuzi ya kanisa
Yesu ndiye mwanzilishi wa kanisa ila alikuwa nyumba ya ibada bali nyumba za watu wa kitabu cha injili kufundishana injili hivyo watu waliingia na viatu na kuketi vitini hata kipindi cha yesu ....sasa kama ujuavyo wayahudi walimkataa yesu na kukikataa kitabu cha injili hata sasa, hivyo baada ya yesu kuondoka wayahudi waliendelea kukataa Injili kwenye masinagogi na hekaluni hivyo wafuasi wa injili walikuwa wanakutanika kwenye majengo ya kawaida kama alivyo fanya yesu pia ...hivyo waliendelea kujifunza na kufundishana injili kwenye hayo majengo ambayo ndiyo kanisa, hivyo kanisa alikuwa nyumba ya ibada bali darasa ya kufundishana injili hivyo watu walikuwa wanaingia na viatu na kuketi vitini kama wewe ufanyavyo chumbani kwako au barazani kwako unaingia na viatu ila unaweza kufanya ibada nyumbani kwako je (nyumba yako ni nyumba ya mungu ya ibada) jibu ni hapana ...hivyo hivyo kwa kanisa ...kanisa siyo nyumba ya mungu ya ibada.
UPOTEVU WA KUGEUZWA KANISA KUWA NYUMBA YA MUNGU YA IBADA
Baada ya yesu kuondoka duniani na kwa sababu wayahudi walimkataa yesu na injili hivyo wakristo waliendelea kujenga na kuanzisha madarasa zaidi ....pole pole upotevu ulianza kuingia kwa wakristo...na kuzigeuza hizo nyumba kuwa za ibada hivyo taratibu za kuingia na viatu zilizo kuwa halali kipindi cha yesu na taratibu za kuketi vitini zilizo kuwa halali kipindi cha yesu zikageuka kuwa UCHAFU BAADA YA KUGEUZWA MAKANISA KUWA NYUMBA ZA IBADA MAANA ZILE TARATIBU ZILIENDELEA ...NI TARATIBU HARAMU KWA NYUMBA YENYE KUITA NYUMBA YA IBADA .
HIVYO
Kanisa alikuwa nyumba ya ibada bali lilikuwa darasa la injili tu.
KOSA
Darasa la injili liligeuzwa kuwa nyumba ya mungu ya ibada huku taratibu za darasa zikibaki vile vile.
HIVYO KANISA LA YESU ALIKUWA NYUMBA YA MUNGU YA IBADA BALI DARASA LA INJILI TU ...wskristo walio potoka wakafanya upuuzi ambao hata ukiwauliza ni mtume au nabii gani aliye wapa ruhusa ya kuingia na viatu na kuketi vitini na kumruhusu mwanamke aliye damuni kuingia kwenye nyumba ya ibada ni nani? wanakosa majibu.
FaizaFoxy adriz Malaria 2 BWANA UTAMU Mufti kuku The Infinity Lucha