Asilimia kubwa ya watu wanaosali katika Kanisa hili naamini watakwenda mbinguni

Asilimia kubwa ya watu wanaosali katika Kanisa hili naamini watakwenda mbinguni

Eti hawanywi divai, Yesu mwenyewe aligeuza maji kuwa divai, wanapingana na maandiko?😀 Acheni UTAPELI

Kanisa ni MOJA, TAKATIFU, KATOLIKI la MITUME.
 
Hawezi kuleta jibu Yesu hajawahi kuingia kanisani kanisa wameanzisha wao kina setfree
SIYO KWELI YESU AMEINGIA KANISANI SANA TU HAPO NAMTETEA ...ILA HATA YEYE MLETA UZI AWEZI KUKUPA JIBU LA SWALI LAKO AU LENU NIULIZENI MIMI ? TATIZO LA WAKRISTO NI UONGO ...WAO WANASEMA KANISA NI NYUMBA YA IBADA HAPO NDIPO WALIPO POTOSHA ...YESU NDIYE ALIYE ANZISHA MAKANISA... ILA AYAKUWA NYUMBA YA IBADA NDIYO MAANA YALIPO ANZISHWA WATU WALIKUWA WANAINGIA NA VIATU NA KUKETI VITINI HAKUKUWA NA SHIDA MAANA SIYO KOSA KUINGIA NA VIATU KWENYE NYUMBA ISIYO YA IBADA
 
Eti hawanywi divai, Yesu mwenyewe aligeuza maji kuwa divai, wanapingana na maandiko?😀 Acheni UTAPELI

Kanisa ni MOJA, TAKATIFU, KATOLIKI la MITUME.
Nyinyi wote mpo kwenye upotevu wa kujitakia ...ukisikia upo ndani ya haya mambo mawili tayari upo upotevuni
1)MADHEHEBUNI
2)KANISANI KWA MAANA YA NYUMBA YA IBADA.
hapo tambua kuwa wewe ni mpotevu ...sasa ukatoliko usabato ulokole vyote hivyo vinausika na hayo mambo mawili hivyo wote nyinyi mpo upotevuni.
 
SIYO KWELI YESU AMEINGIA KANISANI SANA TU HAPO NAMTETEA ...ILA HATA YEYE MLETA UZI AWEZI KUKUPA JIBU LA SWALI LAKO AU LENU NIULIZENI MIMI ? TATIZO LA WAKRISTO NI UONGO ...WAO WANASEMA KANISA NI NYUMBA YA IBADA HAPO NDIPO WALIPO POTOSHA ...YESU NDIYE ALIYE ANZISHA MAKANISA... ILA AYAKUWA NYUMBA YA IBADA NDIYO MAANA YALIPO ANZISHWA WATU WALIKUWA WANAINGIA NA VIATU NA KUKETI VITINI HAKUKUWA NA SHIDA MAANA SIYO KOSA KUINGIA NA VIATU KWENYE NYUMBA ISIYO YA IBADA
Sawa leta andiko linaloonyesha Yesu aliingia kwenye nyumba ya ibada inayoitwa kanisa
 
Sawa leta andiko linaloonyesha Yesu aliingia kwenye nyumba ya ibada inayoitwa kanisa
Waislamu mnapotoka na kupotoshwa na wakristo feki na ukristo feki ....maswali yanakuja hivi...
1)je kanisa ni nyumba ya ibada ?
2)kama ni nyumba ya ibada mbona watu wanaingia na viatu na kuketi vitini tofauti ya nyumba za ibada ambazo yesu aliingia kwenye masinagoni na hekaluni?
3)ni mtume gani au nabii gani aliye sema kuwa taratibu za nyumba ya ibada ya mungu zimebadilishwa hivyo watu waingie na viatu na kuketi vitini ?
4)je yesu ndiye aliye amrisha uwepowa makanisa ?
HAYA MASWALI YOTE HAKUNA MKRISTO WA KUJAJIBU NITSKUJA KUKUJIBU NA UTAULIZA TENA SWALI LA KANISA MAANA MAJIBU YANGU UWEZI KUYAPINGA.WALA HAKUNA MUISLAMU ATAKAYE YAPINGA? FaizaFoxy adriz Malaria 2 muft mkuje huku money namna mtaalamu ninavyo jibu maswali kwa kutumia INJILI YA KWELI ILIYO NYOKA AMBAYO SI WAISLAMU WALA WAKRISTO WANAO IJUA ....Bado sija jibu nawavuteni kwanza mjimuike kusikia majibu ...kuna uzi niliwai kudokeza kuhusu kanisa ni nini na chimbuko lake ni nini ? Laiti huyu jamaa a gruesome ule uzi na kuisoma komenti yangu asinge niuliza hili swali.
 
Mambo ya kusali kwenye nyumba inayoitwa kanisa nani kawafundisha?
Njoo jibu nakupa mimi hakuna mkristo yoyote humu JF hata mmoja anayeweza kukupa jibu la hilo swali ..ila mimi nitakupa jibu ambalo wewe hauta weza kulipinga wala kulikataa....👌👌
 
Back
Top Bottom