Asilimia ya wanaume ambao hawajapata watoto

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kati ya wanaume wenye umri wa miaka 15-49 mwaka 2015–2019, 55.2% hawakuzaa mtoto wa kibaolojia, 14.8% walikuwa wamezaa mtoto mmoja wa kibaolojia, 17.4% walikuwa na watoto wawili, 8.2% walizaa watoto watatu, na 4.4% walizaa wanne au zaidi.

Source ni
National Health Statistics Reports, Number 179, January 10, 2023
 
Vijana waepuke kuoa malaya,mwanamke aliyepita pita chocho za elimu sijui chuoni akaenda field kote huko anakuwa na mabwana so kijana ukioa hiyo ngoma kwa msururu wa ma-X tu acha workmates wake hukosi toto moja la kuzawadiwa.
🤣🤣🤣 Nakazia sana wanawake wasomi asilimia kubwa wanakojolewa hovyo hovyo na midume na ushahidi ninao threesome wanaanza from certificate sio diploma ni certificate just imagine

Haya mambo haya yanafurahisha sana wapenda 3some naombeni mlike comment yangu
 
Threesome shisha yani hao ndiyo walimu wa tabia zote mbaya wanazozi-create wakiwa mbali na wazazi wao huko mavyuoni kwa kigezo cha wako huru.

Hii tabia ya vijana kuokota okota hovyo wanawake na kuwaweka ndani miaka 20 ijayo watakuwa wanauguza wake zao cancer za koo na mapafu madhara yaliyotokana na kuvuta sana shisha kunywa pombe kali K-vant included pamoja na kupiga sana blow job,bila kusahau magonjwa ya moyo yanayotokana na wanakunywa sana energy drinks siku hizi.
 
Michewen dronedrake
 
Vijana waepuke kuoa malaya,mwanamke aliyepita pita chocho za elimu sijui chuoni akaenda field kote huko anakuwa na mabwana so kijana ukioa hiyo ngoma kwa msururu wa ma-X tu acha workmates wake hukosi toto moja la kuzawadiwa.
Mkuu acha kutupa mawe gizani 😬😬, yasije yakanibomoa na mimi huku.
 
Tamaa zao zinawaponza..ukiwapiga savannah hennesy aise unasusiwa mbisusu wee ni kujienjoy 3some. Watoto wa chuo watamu ila ndio walionipa hiv
 
Ila vidume tuache unafiki, hawa ndio warembo tunaolenda kubonda nao raha ya kugegeduana...ebu tusiwasimange sana jameni....mkiwa sema sana watatunyima 3some sasa mnatamaje wajuba...tulie bwana tuendelee kupata 3some toka kwa wanachuo
 
Tamaa zao zinawaponza..ukiwapiga savannah hennesy aise unasusiwa mbisusu wee ni kujienjoy 3some. Watoto wa chuo watamu ila ndio walionipa hiv
Hivi we jamaa ni kweli unaishi na ukimwi kwa miaka 15? 😳

Uliupataje mdau?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…