Asiyesikia la mkuu! IMF walituonya, sasa uchumi umeshuka kwa 2% kwenye robo ya kwanza

ALipokuwa waziri tulikuwa tukimuamini alipokuwa anataja manamba toka kichwani kumbe alikuwa anapiga na free style humo humo. Namba Ikimjia yoyote anatupia. watu weuwee.
Hatareee sana mkuu.The people Republic of Chato.
 
hao waliotoa taarifa ni National Bureau of statics ya kwetu wala si IMF or WB
 
Hao mnaowaita wapiga dili ndo hao waliokuwa na vijihela vyao wanatuajiri sisi wanyonge, sasa we kenua mimeno tu "Wapiga dili wamebanwa" kati huna hata sent, na mama yako alikuwa na kibarua huko kwa mpiga dili tayari kimeshaota nyasi , subiria vibom tu kutoka kwa nduguzo , na senti huna , ndo utajua kwanini lifti inapandwa lakin haiwekewi mbolea

Sent using Jamii Forums mobile app

 
Acha upuuzi. Tulikuwa 7.1 last Q. Sasa tumeshuka mpaka 5.1. Retardation ni 2%. Usituzuge ase.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa nchi ya kilimo, ukuaji wa uchumi hauwezi consistent kutokana na misimu ya kulima na ya kuvuna. Nyie ndiyo shuleni mlikuwa mnategemea kulishwa kila kitu na Mwalimu huku ukishinda mitihani yake vyema lakini kwenye mitihani wa mwisho unaangukia pua.

Uchumi siyo kuangalia tu shot term program angalia na long term forecasts. Hata nchi za viwanda nayo zimekuwa na fluctuations kubwa tu.

Na kwa taarifa yako, bado ukuaji wa asilimia 5 ni wa juu bila kujali kuwa ni wa nchi masikini.
 

Ni sawa unavyosema kama kuna makampuni yanaidai serikali na yanapunguza wafanyajazi. Hata serikali inajidai yenyewe na bado haijajilipa eg.TANESCO. Lakini turudi nyuma kidogo, serikali ya sasa ilipoingia madarakani, haikupendezwa na mwenedo mzima wa mipango na matumizi ya serikali.

Ikaamua kufanya uhakiki ambao nchi haija pata kuuona, Hewa ilikuwa nyingi na ikawa inajaza "uchumi hewa". Huku madeni hewa, wafanyakazi hewa, wanafunzi hewa, kule nako safari za nje hewa.

Hata hayo makampuni unayoyasema hapa, yalipachika madeni hewa kwa maama walipewa kazi, kazi haikufanyika lakini wanadai walipwe. Serikali ya sasa haijamaliza uhakiki, na labda uhakiki utakapomalizika ndio tutajuwa thamani ya kweli ya uchumi wetu.

Kwa upande wangu sijali hata kama tutakuwa kwa asilimia 3, lakini iwe ya kweli. Huwezi kwenda kwenye chumba cha mtihani na majibu mkononi, ukafaulu mtihani ukasema wewe ni msomi wa kweli.
 
heradius12

Umechanganyikiwa na unawachefua watanzania kipindi hiki ambapo kila mtanzania mwenye akili nzuri anaunga mkono juhudi za serikali na wananchi kujenga uchumi ulio imara.

Ujinga na ulimbukeni wako kuwatajatajia vitu kama IMF vyenye rekodi chafu za ubepari ni kupoteza muda wako maana wazalendo hatutakuelewa katu!!
UsirudieKosaKupigiaKuraUpinzaniOvyoo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuendelee kufanya kazi kwa bidii ili tupandishe uchumi wa familia zetu na hata taifa kwa ujumla.
 
Unasimama naye wapi wewe zuzu,where there is smoke,there is fire.
Utasimama na Rais wapi wewe, unataka kuwa Bashite? usikute hata chai hujanywa lakini kiherere mtupu.
JPM 2015-2025 na akimaliza tunabadili katiba na kumbembeleza aendelee coz he is the best President ever tangu Tanganyika iumbwe,huu ndio ukweli ikikuuma hama nchi kwa sababu bado yupo sana otherwise stress zitakuuwa upotee kwenye uso wa dunia.GADEMMMMMU
 
Unasimama naye wapi wewe zuzu,where there is smoke,there is fire.
Utasimama na Rais wapi wewe, unataka kuwa Bashite? usikute hata chai hujanywa lakini kiherere mtupu.
Endeleeni na propaganda uchwara zenu,kila mnalolianzisha baya linafeli na bado mtaendelea kukosa hoja hivohivo by 2020 mnakufa kifo cha mende kwa sababu ya ujuha wenu,CCM itaendelea kuwaongoza tu kama hamtoacha ujinga na kuanza kutumia akili.
 

Hizo nchi zimeisha fikia kikomo or pick ktk uzalishaji, hivyo kwa kutofanya hivyo kuta affect areas zingine za uchumi, hususana ktk uzalishaji na na uneployement.
wakati sisi productivity bado ipo chini.

Angalia Zimbabwe wakati wa uzalishaji mkubwa wa mazao tu ya chakula, fedha yao ilikuwa na nguvu kuliko ya south africa, hivyo hata yetu , inaweza kupanda kama tutuongeza uzalishaji na kuacha kuwaachia walanguzi kutulangua tulicho lima
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…